makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Rais anahusika vipi na matokeo ya mtoto wake? uzumbukuku huu.
Amkane kwa lipi? na wewe cha ajabu unachokiona ni kipi? Hapo kwenye red ELIZA na wewe ni mmoja wa hao wanawake wa maana?
Huu ni mwanzo wa anguko la cdm kama chama cha upinzani. Hii tahariri ya tanzania daima ilipaswa kuandikwa uhuru na habari leo. Ngoja tuendelee kutazama hii sinema
wanamchafua au wanasema ukweli?
Duh!Kwanza, kudos Tanzania Daima kwa kuendelea kuchafua rais kwa kuwafikishia Watz wote kuwa Mwanaasha bint dr dr dr mheshimiwa kanali(?) Amiri Jeshi mkuu wa vikosi vya majeshi yote ya bongo tambarare, rais wa Jamhuri ya muungano wa (kulazimisha?!) au wa (viongozi?!) Tanganyika na zanzibar AMEPATA DIV IV.... !
Rais anahusika vipi na matokeo ya mtoto wake? uzumbukuku huu.
Heeheeheee! Mkuu, huo siyo uchafuzi banaa, ndo ukweli wenyewe huo! Kwanza nina wasiwasi kuna vyeo (visifa?) vingine nitakuwa nimevisahau...!!Duh!
iyo sivii imekaa vema, au ni mwendelezo wa uchafuzi
Yanasaidia kujua aina ya baba alienaye.after all kama mtu unakazi za kufanya huwezi kuongelea matokeo ya mtoto wa rais kwani hayata kusaidia chochote.
si lazimiki kukisoma tanzania daima.........hoja hii ya huyu mtoto imejadiliwa kirefu hapa labda hukusoma.......ni kuwa mtoto kama huyu mwenye kuishi katika mazingira bora pengine kuliko watoto wote wa tanzania hii kwanini anashindwa kupita mitihani yake?
[/QUOTE]Mimi ni mama yako.
mama yako sio mwanamke wa maana?
usiwe kama kunguru, unakunya ili ule!
[QUOTENews is "when a man bites a dog not When a dog bites a man".]
Kale chabo urudi jamviniHeeheeheee! Mkuu, huo siyo uchafuzi banaa, ndo ukweli wenyewe huo! Kwanza nina wasiwasi kuna vyeo (visifa?) vingine nitakuwa nimevisahau...!!