Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,400
- 1,501
Mkuu tuwe wakweli..Mimi katika kuiguatilia hiyo patriot nikagundua kuwa kwanza si mzuri katika kutungua drone na pia imekuwa outdated kwa namna Fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Paula Paul,
Unaposema Patriot Missiles hazikufail ila ni kutokana tu na kuwa the direction from which the attack came was different unakosea. Sababu gani, Patriot Missiles depend on radar, unlike Stringer or Sidewinder.
So unamaanisha radar hiyo ilikuw programmed ku detect missiles from South and South West only?
Katika missile defense systems, au tuseme air defense system yoyote kweli unaweza ku expect enemy hata attack kutoka upande fulani? Always kutegemea kupigwa kutoka upande wowote ndio kitu kinafahamika. Sasa ku fail kwa Patriot kwanini unasingizia mambo ya upande shambulizi lilipotokea wakati mtambo unatumia radar?
Alafu pia labda inawezekana labda ni mfumo wa kizamani sana maana since Gulf War technology ime advance sana, labda missiles za Iran zilikuwa undetectible!
In short Patriot ili fail, no excuses. Ila si mnasema US ndio mna modern and beautiful equipment? Vipi mnashindwa kuwalinda allies wenu?
Sent using Jamii Forums mobile app