Mitambo ya Marekani ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ni ya hovyo

OP Usisahau kwamba Patroit missiles ilifanya vizuri sana kipindi cha Gulf War 30 years ago. Iliweza ku shut down SCUD missiles.
Okay tuseme ni kweli ilitokea ikafeli haidhibitishi kwamba ilikuwa ni feki coz every piece of equipment can fail, no matter how advanced it is.

Tuje kwenye hoja yao sasa, maelezo yao yalikuwa kwamba hazikufeli but attack came from another direction. Haikuwa originated from the south or south-west and instead were launched from north or North west.

Je ni uongo na US walifanya kusudi ili vita itokee?
Je haikuwa kusudi bali ni kweli "ilifeli" na blah blah zote ni kuaminisha dunia kwamba haziku-fail? Kwa sababu kama zilifeli it wouldn't be good for US?

US bado wapo vizuri OP , wanayo atleast 3 missile systems ambazo zina uwezo wa ku-shoot down an ICBM. Anayo THAAD System, SM-3 Missile na Patroit Missile System. Ila Kutegemea kitu kufanya vizuri siku zote ni 10000% unrealistic.

Cc. chaliifrancisco
Kwann usinyamaze tu naona unaongea ushubwada mpaka unawaharibia wa USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umejitahidi sana kuitetea patriotic ila sifa zote ulosema hapo zinatakiwa zifanywe na patriotic ila zikafeli.....
Mifumo takribani yote ya ulinzi wa anga ina madhaifu fulani fulani ya kiutendaji kazi na hakuna mfumo ambao umekamilika kwa asilimia 100.

Kwa case ya Saudi Arabia, kijiografia pamoja na aina ya shambulizi lililofanyika linazipa ugumu missile defense systems ku engage targets hususani ambazo ni low-flying kama hizo drones zilizotumika.

Mfumo wa Patriot umewezeshwa zaidi kuweza kuzisoma high-flying targets above the horizon ambapo ndipo missiles hupitia.

Hivyo shida si kuzipiga ama kuzitungua hizo drones bali shida ipo kwenye ku detect hizo targets.

Same applies to S-300 na S-400 za Urusi nchini Syria. Sote ni mashahidi wa kile kinachoendelea kule ingawa baadhi ya mashambulizi hukabiliwa lakini bado mashambulizi mengi yamefanikiwa na kuleta madhara yaliyokusudiwa na aliyefanya mashambulizi hayo.

Kwa case ya Iraq, hakuna taarifa zinazotuhakikishia kuwa kulikuwa na mifumo yeyote ile ya ulinzi wa anga achilia mbali huo mfumo wa Patriot.

====

All in all hakuna kinachoshindikana. Hilo linashughulikiwa.

Kuna mifumo mipya na uboreshaji wa kisasa zaidi wa mifumo iliyopo kama vile LTAMDS yaani 'Lower Tier Air and Missile Defense Sensor' kwa ajili ya ku engage hizo low-flying targets kwa ufanisi zaidi kuliko awali.

Hilo tayari linafanyiwa kazi na kampuni ya Raytheon ili kuuboresha zaidi mfumo wa radar wa Patriot;

Pia bado kuna altenatives nyinginezo na pengine zenye urahisi na ufanisi zaidi ili kukabiliana na aina kama hizi za mashambulizi yanayoendelea kutokea mara kwa mara katika ukanda wa Mashariki ya Kati;
Kwa mfumo huo wa patriotic bora ule wa IRAN Wa BAVAR
patriot-diagram-small.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makombora yalirushwa toka Iran moja kwa moja yakafika kwenye target bila kuonekana kwenye mitambo, hakukuwa hata na chembe ya kujaribu kuzuiwa shambulio kama ambavyo S-300 ya Syria ilivyoona makombora ya Israel ikafanikiwa kuya angamiza.
Kwani hizo kambi zilizolengwa na makombora ya Iran zilikuwa na hiyo mitambo?

Na kuhusu huko Saudia hilo shambulizi kwenye visima lilifanywa na drone na imeonekana ilikuwa ngumu kwa hiyo Patriot kudetect hizo drone ila kwa sasa Saudia na Marekani wanafanyia kazi udhaifu uliojitokeza.
 
Mifumo takribani yote ya ulinzi wa anga ina madhaifu fulani fulani ya kiutendaji kazi na hakuna mfumo ambao umekamilika kwa asilimia 100.

Kwa case ya Saudi Arabia, kijiografia pamoja na aina ya shambulizi lililofanyika linazipa ugumu missile defense systems ku engage targets hususani ambazo ni low-flying kama hizo drones zilizotumika.

Mfumo wa Patriot umewezeshwa zaidi kuweza kuzisoma high-flying targets above the horizon ambapo ndipo missiles hupitia.

Hivyo shida si kuzipiga ama kuzitungua hizo drones bali shida ipo kwenye ku detect hizo targets.

Same applies to S-300 na S-400 za Urusi nchini Syria. Sote ni mashahidi wa kile kinachoendelea kule ingawa baadhi ya mashambulizi hukabiliwa lakini bado mashambulizi mengi yamefanikiwa na kuleta madhara yaliyokusudiwa na aliyefanya mashambulizi hayo.

Kwa case ya Iraq, hakuna taarifa zinazotuhakikishia kuwa kulikuwa na mifumo yeyote ile ya ulinzi wa anga achilia mbali huo mfumo wa Patriot.

====

All in all hakuna kinachoshindikana. Hilo linashughulikiwa.

Kuna mifumo mipya na uboreshaji wa kisasa zaidi wa mifumo iliyopo kama vile LTAMDS yaani 'Lower Tier Air and Missile Defense Sensor' kwa ajili ya ku engage hizo low-flying targets kwa ufanisi zaidi kuliko awali.

Hilo tayari linafanyiwa kazi na kampuni ya Raytheon ili kuuboresha zaidi mfumo wa radar wa Patriot;

Pia bado kuna altenatives nyinginezo na pengine zenye urahisi na ufanisi zaidi ili kukabiliana na aina kama hizi za mashambulizi yanayoendelea kutokea mara kwa mara katika ukanda wa Mashariki ya Kati;
As long as its human made, Lakini huo wa USA ni zaidi, usiseme tu mifumo ina mapungufu jua kuna yenye mapungufu zaidi na hio si mingine ni hio mifumo ya USA, tulikuwa tunapiga kelele sana humu JF kuhusiana na mifumo ya ulinzi ya ki-soviet vs USA , finally tumepata jibu.

Kambi kama hio inafaa kulindwa na mifumo inayo fanya kazi kama s-400, Yaani kampuni ya Israel Rafael na Raytheon zote zinachemka kuiboresha Patriot, hawaoni wenzao Russia nchini Syria, kambi za Russia zina S-400, hio kambi hata Trump alienda kutembelea, ni base kubwa na muhimu, halafu wanafunga madishi.

Trump alisema “We have missiles that can knock out a missile in the air 97 percent of the time, and if you send two of them, it’s going to get knocked down.” 😄😄😄😄

Paula Paul,
Wana base kila Kona ya middle East system yao ya kujilinda ingekuwa poor Kama tunavyoaminishwa kila siku wangekuwa wanasomba maiti kurudisha US,pili jambo muhimu la kuzingatia watu waangalie Israel mahali ilipo kijografia halafu uniambie kwa Nini Sirya na hezibola wa Lebanon na Hamas wa Palestina wanashindwa kuidhuru Israel kwa hicho kinachosemwa makombola ya Iran hayawezi kuwa intercepted na anti missile za wamarekani. Magenge yote ya anti Israel na anti America middle East mfadhili wao ni Iran si awape makombora waishambulie Israel!!!! Tofauti na Yale yanayorushwa west bank kwa mamia na Hamas ambayo huwa hayana madhara yeyote
Hivi unajua kwa nini Israel inashambulia misafara na madepo ya silaha kutoka Iran?Na hawana mchezo kabisa....ni kwa sababu hawataki makombora yenye uwezo mkubwa kama hayo mengine ya Iran yatue chini ya mikono ya Hezbolla etc....
Manake ni kwamba Israel wanajua kabisa kuruhusu baadhi ya silaha kama hizo kuwa nikononi mwa vikundi hasimu ni hatari sana...
Pia ukumbuke Iran na Israel hawapigani vita vya moja kwa moja...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Patriotic ilikuwa bado haijapelekwa kabla ya lile shambulizi sasa hivi ndio yamepelekwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio la wapi Saudia au Iraq?
Kama Saudia ilikuwepo tena guided missile zimepita hapo hapo kwenye mojawpo ya kituo cha Patriot na kwenda kushambulia nyuma yake.
Ngoja nikutafutie ramani ya location zote zilipo wekwa Patriot nchini Saudia.
 
Back
Top Bottom