Mitambo ya gas ya kuzalishia umeme ktk Grid I ya Taifa maeneo ya Ubungo sasa hvi inavuja na hali si shwari maeneo hayo kwani kuna moshi mkali sana!
Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio!
Ha haa haaa,mkuu umenifurahisha..nadhani alikuwa ana maanisha moto ulianza 5.45a:m, ila magari yalifika saa 9:00a.m....mawazo yalikuwa kwenye kiswahili,mikono ilikuwa kwenye kiingereza
Ukiona kuna tatizo la umeme ujue uchaguzi unakaribia
Ni kitu cha kawaida kwenye storage zap gas moto kutokea.....Wanatakiwa kujipanga tu linapotokea jambo kama hilo wanalikabili mapema bila kuleta madhara......I worked over 20 years on that Field
Mgawo unanukia. Na hiki ni 'kisingizio' au kihalisho