tatizo watanzania sijui wakoje kuna hatari eneo flani watu bado wanaisogelea awa ndio wale wanachota petroli na diesel kwenye magari yanaoungua hadi kupelekea kupoteza maisha yao hapa nyumbani umeme amna it might be because of that problem.
Wanataka kwenda kuchota gesi watu wajaze kwenye ndoo wawe wanapikia si unajua mafuta ya taa yamepanda baada ya uchakachuaji