Mitambo ya gas Ubungo yavuja

Mitambo ya gas Ubungo yavuja

mitambo ya gas ya kuzalishia umeme ktk grid i ya taifa maeneo ya ubungo sasa hvi inavuja na hali si shwari maeneo hayo kwani kuna moshi mkali sana!

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio!

du ndo maana leo nimepita mida ya saa 10 alfajiri hakuna umeme sehemu kubwa ya viwanda maeneo ya pugu road na taa za katikati barabarani ya nyerere haziwaki
 
najaribu kuupload picha mkuu. Eneo ni chafu kuna matakataka mengi matanki chakavu yaliyotumika yametupwa ovyo eneo zima la mitambo yanazuia movements za kuzima moto.Kwa hiyo kazi ni kuondoa kwanza matakataka hayo ndipo zimamoto waendelee. space and safety management. Nimemwona mkuu wa mkoa ameingina saa 12.45 na moto umepunguzwa kwa sasa.
 
Moshi mkubwa unaonekana angani maeneo ya UBUNGO, inasemekana ni hitilafu kwenye kinu cha gas.
Taarifa za tahadhari bado hazijatolewa na watu wanazidi kusogea kushangaa moto.
Ni vyema tukajifunza kuchukua tahadhari na kuelekea maeneo salama zaidi kuliko kuelekea eneo la tukio ambalo ni hatari sana kwa usalama.
 
tatizo watanzania sijui wakoje kuna hatari eneo flani watu bado wanaisogelea awa ndio wale wanachota petroli na diesel kwenye magari yanaoungua hadi kupelekea kupoteza maisha yao hapa nyumbani umeme amna it might be because of that problem.
 
Wabongo kwa kukusanyika kwenye majanga kama haya, hawajambo....... Si mnakumbuka taarifa ya Reinfred Masako... Mwenye ndoo haya, mwenye kikombe haya, mwenye godoro haya, mwenye sufuria haya....
 
najaribu kuupload picha mkuu. Eneo ni chafu kuna matakataka mengi matanki chakavu yaliyotumika yametupwa ovyo eneo zima la mitambo yanazuia movements za kuzima moto.Kwa hiyo kazi ni kuondoa kwanza matakataka hayo ndipo zimamoto waendelee. space and safety management. Nimemwona mkuu wa mkoa ameingina saa 12.45 na moto umepunguzwa kwa sasa.

Ilifaa iungue siku alipotembelea obama, alafu unaweza kuta alipofika obama hiyo mitakataka ilifunikwa na mavitambaa ya mapambo.
 
Mitambo ya gas ya kuzalishia umeme ktk Grid I ya Taifa maeneo ya Ubungo sasa hvi inavuja na hali si shwari maeneo hayo kwani kuna moshi mkali sana!

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio!

hivi nayo iko kwenye "day" yake leo/ au inakuwaje coz nimeona unasema inavuja.
 
majanga hayo, bibi wa mtwara kaanza kazi teh teh
 
Hongera sana kwa kutujulisha maana toka saa 9 usiku maeneo mengi Tanzania nzima hayana umeme. Hapa Tabora ndiyo umerudi sasa hivi.

Umeme wa tabora hautoki dar mkuu!

Wappanga baba! Onene mpolla gete!
 
Hapa nilipo tuna zaidi ya wiki umeme hauaminiki. Hata sasa ulikuwa haupo nimeanza kuandika tu ukarudi. Kazi tunayo.
 
Saa 3 am moto ulianza na 5.45 am ndio fire wanafika???
Hapo bado sijaelewa

Maana yake toka moto ulipoanza mpaka fire brigades walitumia masaa 2 na dakika 45 kufika kwenye tukio!
Una swali la ziada!
 
Back
Top Bottom