Mitambo ya gas Ubungo yavuja

Mitambo ya gas Ubungo yavuja

beal

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
60
Mitambo ya gas ya kuzalishia umeme ktk Grid I ya Taifa maeneo ya Ubungo sasa hvi inavuja na hali si shwari maeneo hayo kwani kuna moshi mkali sana!

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio!
 
alafu mkuu huku maeneo yetu hakuna umeme ulikatika sijui mda gani na sijajua itarudi mda gani.
 
Usharudi umeme ths time, ila gas kuvuja ni hatari sana si kwa mitambo tu,hata kwa watu wa karibu.
 
Hii ni ile mitambo michakavu iliyoletwa na Richmond, ikachukuliwa na Dowans na kuuziwa Symbion? Wajinga ndio waliwao.

ndio hiyo! Toka saa kumi usiku inawaka moto zimamoto zimekuwa kama daladala kuuzima moto toka mida hiyo.
 
huku mwenge hakuna umeme, kama ni kweli hii ni aibu kubwa
 
Kuanzia saa 9 usiku mitambo ya Aggreko imeendelea kuungua moto. Sasa hivi saa 11.45 alfajiri ndio magari ya zimamoto yanaingia.Uharibifu inaonekana ni mkubwa sana. Tujiandae kuingia gizani tena.
 
Hongera sana kwa kutujulisha maana toka saa 9 usiku maeneo mengi Tanzania nzima hayana umeme. Hapa Tabora ndiyo umerudi sasa hivi.
 
huwa nikisikia matatizo ya umeme,nafananishaga na tangazo la njaa
 
Ndio maana huku umeme ulikatika usiku,hujuma hyo watu wanataka wapige richmond tena watu wanataka wajenge ufukweni watu wanataka wapush x6.
 
Kuanzia saa 9 usiku mitambo ya Aggreko imeendelea kuungua moto. Sasa hivi saa 11.45 alfajiri ndio magari ya zimamoto yanaingia.Uharibifu inaonekana ni mkubwa sana. Tujiandae kuingia gizani tena.
Saa 3 am moto ulianza na 5.45 am ndio fire wanafika???
Hapo bado sijaelewa
 
Mie nimelala ucku wa sa kumi umeme ulikuwepo , nimeamka sa kumi na mbili na nusu giza
 
Mitambo ya gas ya kuzalishia umeme ktk Grid I ya Taifa maeneo ya Ubungo sasa hvi inavuja na hali si shwari maeneo hayo kwani kuna moshi mkali sana!

Source: Mimi mwenyewe nipo eneo la tukio!

==>> WEEE KIMBIAAAA ACHA MPAKA MIGUUU NA KILA KITU IKIBIDI.....KIFO HICHOOO NI ZAIDI YA BOMB.......
.....get out ur as..s there... ukifika 5 km then andika...

===>> Aisee watu hawajui MOST DANGEROUS thing ni gesi....
 
Back
Top Bottom