Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
wadau mambo vipi jana nilikaa kijiweni nikasikia wanazungumzia habari hii,nikabishana nao sana,wameniambia wameckia kwenye radio nimejaribu kuangalia source zangu net cjaona wala kwenye magazeti sasa kama kuna m2 yeyote ana habari za uhakika juu ya jambo hili