Mitambo mipya ya kufua umeme wa gesi ikiwa tayari kuelekea Mkoani Mtwara kwa ajili ya kufungwa

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
Katika Ilani ya Uchaguzi 2015-2020 ya CCM ilihaidi kuendeleza ufuaji wa umeme wa ges katiks Mkoa wa Mtwara ili kumaliza adha ya umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Mitambo hii ilinunuliwa mapema mwezi January mwaka huu wa 2018.
31038030_234811587077787_5464940022635429888_n.jpg

31064294_234811617077784_6266227151649898496_n.jpg
 
Serikali ya kinafiki hii sijapata ona,walikua wapi siku zote? Na wanajua MT wazee wa kukinukisha so wanapeleka hiyo mitambo kuwalaghai wasikinukishe tar 26 hapo
 
Serikali ya kinafiki hii sijapata ona,walikua wapi siku zote? Na wanajua MT wazee wa kukinukisha so wanapeleka hiyo mitambo kuwalaghai wasikinukishe tar 26 hapo
Mkishikiwa akili huwa mnashida sana maskini. Sasa kama mitambo imenunuliwa january ulitaka ifike January hio hio?

Halafu ulitaka Tanzania tusifanye kitu mpaka tarhe 26 ifike? basi watu wasifungue maduka kuanzia saivi, maana akili zako zinaweza sema watu wanafungua maduka kuwalaghai watu wasikinukishe 26.....
 
Katika Ilani ya Uchaguzi 2015-2020 ya CCM ilihaidi kuendeleza ufuaji wa umeme wa ges katiks Mkoa wa Mtwara ili kumaliza adha ya umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Mitambo hii ilinunuliwa mapema mwezi January mwaka huu wa 2018.
31038030_234811587077787_5464940022635429888_n.jpg

31064294_234811617077784_6266227151649898496_n.jpg
Hii sio mitambo ya gesi usitudanganye.
Ni mitambo ya kutumia 'heavy oil' kuzalisha umeme
 
Katika Ilani ya Uchaguzi 2015-2020 ya CCM ilihaidi kuendeleza ufuaji wa umeme wa ges katiks Mkoa wa Mtwara ili kumaliza adha ya umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Mitambo hii ilinunuliwa mapema mwezi January mwaka huu wa 2018.
31038030_234811587077787_5464940022635429888_n.jpg

31064294_234811617077784_6266227151649898496_n.jpg

Serikali inayoendeshwa kwa pressure
 
Hapo ndio HOJA ya Zitto na Nasari inapo kaa, ukweli sikuelewa ni kwanini mhe Lukuvi alimbishia Zitto siku ile kuhusu ule mradi wa umeme wa maji kule kwenye ile mbuga ya Wanyama; Zitto alijengea hoja mambo 2, kwanza kama tukitumia hiyo gas walau kwa 25% tu ya capacity yake then tutapa hizo 2500M za umeme ambao ndio inatakiwa kutoka kwenye ule mradi, hoja yake ya pili ilikua, mradi huo ulifanyiwa upembuzi yakinifu mwaka 1979 na mwl Nyerere na uwezo wa mto au maji yaliopo kwenye ule mto umeshuka by 45% so haoni uwezekano wa kuzipata hizo 2500M na mradi ni wa gharama kubwa na hatuna pesa, why kwanini tusiwekeze kwenye hiyo gas ambayo tuna uhakika nayo zaidi kwasababu upembuzi umefanyika recently!? Nilishangaa sana alivyo pingwa na wazee wa kupiga makofi kila kitu
 
Serikali ya kinafiki hii sijapata ona,walikua wapi siku zote? Na wanajua MT wazee wa kukinukisha so wanapeleka hiyo mitambo kuwalaghai wasikinukishe tar 26 hapo
Namshangaa sana mnyama mbuzi, ana njaa kweli kweli anapelekwa ili apate mlo bado tu anafanya mgomo.( mbuzi kagoma kwenda)
 
Naona mapovu mengi kuhusu hiyo mitambo mipya ya umeme inayotekelezwa na serikali, ila kimtazamo tu serikal imejipanga vyema kutatua adha itokanayo na umeme kila pembe ya nchi hii na ndio maana utaona kila imejidhatit vilivyo kuhakikisha umeme unapatikana tena kwa uhakika aidha uwe wa maji, gesi, makaa ya mawe na mvuke. Hivyo basi kama bado nyang'au bado hawaamin kila jambo linalofanywa na serikal hii subirin Muda na wakat wenu wa kuumbuka maan sio kwa ujinga wenu huo wa et serikal inatekeleza mambo ili itulize maandamano. Maandamano yepi mnayotarajia vichwa maji nyie mejaza ujinga tu. Bravo TZ
 
Hizo ni Generator ambazo ndani yake zina Gas engine... Niangalia hapo naona ni Caterpillar huyo kauza mzigo..
Sijui ni MW ngapi na ziko piece ngapi maana tatizo sio kuona Generator bali lazima tujue ni MW ngapi na zitakuwa zimepunguza au kutatua tatizo kwa asilimia ngapi.. Mtwara kuna Gas na total load pale ni 20MW kwa hali ilivyo inabidi kuwe na uwezo wa 50MW hata ikitokea breakdown unaweza kurun 20-25MW..
 
Back
Top Bottom