Mitaa yote kwenye majiji kuwekewa umeme ifikapo Juni 30

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,279
Picha

WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amelianza Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha mitaa yote kwenye majiji, inapatiwa umeme ifi kapo Juni 30, mwaka huu.

Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa wiki mara baada ya kufanya ziara kutembelea maeneo ya Mkonze na Ntyuka katika Jiji la Dodoma, ambayo yana nyumba ambazo hazijaunganishiwa umeme.

Dk Kalemani alisema mitaa yote katika jiji hilo, inatakiwa kuwa na umeme ifikapo tarehe hiyo, kwani maeneo hayo yana kero kubwa ya kupata umeme ijapokuwa yapo jijini.
Alisema maeneo hayo lazima yapatiwe umeme haraka ili yafanane na hadhi ya jiji.

Dk Kaleman alitaka wataalamu kutoka Tanesco kutokataa malipo ya wananchi, wanaotaka kuunganishiwa umeme, bali wanapaswa kuyapokea malipo hayo na kuharakisha kuwasambazia umeme wateja hao.

Kabla ya kufanya ziara hiyo, Dk Kalemani akizungumza katika kikao na watendaji wa Tanesco na kuwataka kushughulikia kwa haraka suala la kuwaunganishia umeme wananchi waliolipia.
 
GOOD mh. Kalemani, haipiti kwa fahamu kama moja ya majiji makubwa afrika mashariki na kati, Dar es salaam ina mitaa haina umeme
 
Anamaanisha taa za barabarani au umeme wa majumbani? Maana kwenye mji ninaoishi mitaa yote ina umeme..
 
Badilisha kichwa habari kijana....,badala ya kusomeka "majiji" isomeke "jiji" na pia uelewe kuwa Dodoma imejuwa jiji kisiasa kwahyo sio jiji kiuhalisia...,
 
Picha

WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amelianza Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha mitaa yote kwenye majiji, inapatiwa umeme ifi kapo Juni 30, mwaka huu.

Kauli hiyo aliitoa mwishoni mwa wiki mara baada ya kufanya ziara kutembelea maeneo ya Mkonze na Ntyuka katika Jiji la Dodoma, ambayo yana nyumba ambazo hazijaunganishiwa umeme.

Dk Kalemani alisema mitaa yote katika jiji hilo, inatakiwa kuwa na umeme ifikapo tarehe hiyo, kwani maeneo hayo yana kero kubwa ya kupata umeme ijapokuwa yapo jijini.
Alisema maeneo hayo lazima yapatiwe umeme haraka ili yafanane na hadhi ya jiji.

Dk Kaleman alitaka wataalamu kutoka Tanesco kutokataa malipo ya wananchi, wanaotaka kuunganishiwa umeme, bali wanapaswa kuyapokea malipo hayo na kuharakisha kuwasambazia umeme wateja hao.

Kabla ya kufanya ziara hiyo, Dk Kalemani akizungumza katika kikao na watendaji wa Tanesco na kuwataka kushughulikia kwa haraka suala la kuwaunganishia umeme wananchi waliolipia.
Ifikie mahali sasa tupewa uhuru wa kutukana, ili inapotokea kiongozi anasema jambo ambalo halitekelezeki tumtukane, ili nae siku akifungua JF akutane na lundo la matusi kutoka kwa wadau..... Ili siku nyingine wawe wanazungumza vitu logical na vyenye kutekelezeka
 
anamaanisha nyumba zote mitaa ya majiji ziwe na umeme,ndo maana anasema tanesco wasikatae malipo,haamanishi taa za barabarani
 
Hizi ni political language za kuwahadaa wananchi.

Katika shirika lenye uzezeta nchini hawa nao wamo, eti linadaiwa pesa lukuki alafu ofcn kuna wateja zaidi ya 1,000 wanataka huduma unawaambiwa nendeni nyumbani mkasubili kwanza.

Hivi wakiongeza ufanisi wa huduma na kuwafungia hao 1,000x320,000=? mtakuwa mmepunguza deni kwa kiasi gani?.

Hiyo siasa ya ya maneno kutoka kwa dr. Kalemani sidhani kama itaApply kwenye uhalisia.

Naweka dot kusubili siku 29 zilizobaki.
 
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha mitaa yote kwenye majiji, inapatiwa umeme ifi kapo Juni 30, mwaka huu.

Kauli hiyo aliitoa mara baada ya kufanya ziara kutembelea maeneo ya Mkonze na Ntyuka katika Jiji la Dodoma, ambayo yana nyumba ambazo hazijaunganishiwa umeme.

Dk Kalemani alisema mitaa yote katika jiji hilo, inatakiwa kuwa na umeme ifikapo tarehe hiyo, kwani maeneo hayo yana kero kubwa ya kupata umeme ijapokuwa yapo jijini.

Alisema maeneo hayo lazima yapatiwe umeme haraka ili yafanane na hadhi ya jiji. Dk Kaleman alitaka wataalamu kutoka Tanesco kutokataa malipo ya wananchi, wanaotaka kuunganishiwa umeme, bali wanapaswa kuyapokea malipo hayo na kuharakisha kuwasambazia umeme wateja hao.

Kabla ya kufanya ziara hiyo, Dk Kalemani akizungumza katika kikao na watendaji wa Tanesco na kuwataka kushughulikia kwa haraka suala la kuwaunganishia umeme wananchi waliolipia.
 
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha mitaa yote kwenye majiji, inapatiwa umeme ifi kapo Juni 30, mwaka huu.

Kauli hiyo aliitoa mara baada ya kufanya ziara kutembelea maeneo ya Mkonze na Ntyuka katika Jiji la Dodoma, ambayo yana nyumba ambazo hazijaunganishiwa umeme.

Dk Kalemani alisema mitaa yote katika jiji hilo, inatakiwa kuwa na umeme ifikapo tarehe hiyo, kwani maeneo hayo yana kero kubwa ya kupata umeme ijapokuwa yapo jijini.

Alisema maeneo hayo lazima yapatiwe umeme haraka ili yafanane na hadhi ya jiji. Dk Kaleman alitaka wataalamu kutoka Tanesco kutokataa malipo ya wananchi, wanaotaka kuunganishiwa umeme, bali wanapaswa kuyapokea malipo hayo na kuharakisha kuwasambazia umeme wateja hao.

Kabla ya kufanya ziara hiyo, Dk Kalemani akizungumza katika kikao na watendaji wa Tanesco na kuwataka kushughulikia kwa haraka suala la kuwaunganishia umeme wananchi waliolipia.
Sisi tuna subiria tu

Ova
 
Back
Top Bottom