GE2025 Mitaa ya Dar usiku huu ni shwari kabisa, panapokuwaga na foleni leo peupe peeh!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
427
Reaction score
1,579
Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko.

Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania.

Sasa tufunge mikanda kwa miaka mingine 5 ijayo, tuchapeni kazi wanawane!

Deal Secured✅
 
Mshindi dhidi ya nani ???
Ukinyimwa akili LAZIMA uletee familia yako na taifa aibu Kila siku
 
Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko.

Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania.

Sasa tufunge mikanda kwa miaka mingine 5 ijayo, tuchapeni kazi wanawane!

Deal Secured✅
Imewezaje kupatrol mitaa yote ya jiji la Dar hadi kufikia kusema hivyo?
 
Huwa najaribu kuwaza hivi hawa wanaoifurahia hii serikali inayoteka na kuua watu ni binaadamu kamili kama wengine kweli au Kuna nguvu za giza zimeshiriki kuwapumbaza kiasi cha kushindwa kuiona hatari iliyopo mbele yetu?

Yaani yote maovu tena ya waziwazi ya ayitendwa na hii serikali lakini bado kuna binaadamu ambao kabisa wanajihisi wao hayawahusu dah!

Eehh! Mungu Baba.....

Taifa bado linasafari ndefu sana ya kuufikia ukombozi wakifikra aisee.
 
Hivi ni kweli Prof.Shivji katekwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom