!
!
manzese iko upande wa kulia kama unaelekea sua kutokea round about ya kanisa la Anglikana mpaka kwenye barabara ya lami ya msikiti wa mahita....then kama unaelekea sabasaba kutokea round about ya Anglikana ni upande wa kushoto mpaka sabasaba uwanjani. Sasa hapo katikati hapo mpaka kwenye kilabu cha pombe ndio maeneo ya mansese ambapo polisisiem ni wachumba tu.
!
!
ila pia kuna vibandani na sultani area au karume...hii mitaa ni hatari kwa wageni. Kuna hii njia ya kwenda morogoro hotel kutokea hospitali mpaka nguzo, usiku kuna vibaka kinyama. Lakini pia kuna akina watoto wa forest bodaboda wako shuleni juu pale wanajiita michezo ya kuzidi wao mchana raia wema ila usiku kaa chonjo kwani wana michezo ya kuzidi......wapi pispo spy, bokasa, side konko d, maanina. Salute.