Misukosuko!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Najiulizaga sana maswali hivi kipindikile mimi ninalokumbuka gonjwa hatari ilikuwa gono!Hivi yawezekana Ujaugua GONO kama wewe nimtukutu??
 
nilisindikiza rafiki yangu sekondari kutibu hiyo kitu...aliparamia mtoto wa kimanga akalizoa... kijana kwao shy... kaugilia mwanza shulen afu boarding na geti kali....kpumia zanahanai ya shule kagoma......tumienda hospitali akaambiwa no tiba hadi aje na mwenzi wake waloambukizana..
Alijuta...
 
hiyo avatari yako badilisha mkuu hatuna amani tukiingia jf watoto wote wenda mbio hakaribii mtoto sitting room...:nono:
Najiulizaga sana maswali hivi kipindikile mimi ninalokumbuka gonjwa hatari ilikuwa gono!Hivi yawezekana Ujaugua GONO kama wewe nimtukutu??
 
Back
Top Bottom