Jamani madege mengi mpaka hili nalo dege?
Kumbe dege
Dege, tena dege lisoliwaaa
Sio awe zumbukuku. . .HUTAKI KUONA NJIA!
Sio awe zumbukuku, kutwa kiguu na njia
Huo mstari wa Mzee Yussuf hujaukosea kweli?
Usahihi wake ni
Hapo aliteleza kidogo but I cut her some slack coz she's a newbie.
Cheki nyonga zinavyongwa na kuzungushwa. Gaijin upo hapo?
Hehehee mmmh kwa hali hiyo sipo naona!
Na hicho kiduku kichwani! Khaaa
Hahahaa hata mi kimeniacha mdomo wazi!
Ila Shilole ni wa ukweli. Manake sichoki kuiangalia hii video.
Hahahahaaa swaafi sana Lizzy! Naona kidogo kidogo na wewe tunakuvuta kwenye fani.
Hicho kibwagizo cha Mzee hunikosha sana.
Usijigambee eti akupendaa,
Hujui akitoka ni nini afanyalo kwako,
We wampenda,
Katu Usiusemee Moyo Wa Mwenzi Wakouwoo.
Kama sikosei ni mzembe Lady JideNani katema hii mistari?
Kama sikosei ni mzembe Lady Jide
Hata bongo fleva (as r n b and hiphop) anachemka tu, nazani anapata soko kwa ile staili yake ya kwaya zaidiOooh halafu huyo Jide alivamia fani ya miduara na lile jimbo lake la mtarimbo.
I think it flopped. She should just stick to bongofleva.