Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,092
Kuna watu walidhani labda kwa kuachia zile sauti kutakwenda kuzima fukuto la kisiasa katika chama cha Mapinduzi.
Lakini wasichokijua ni kwamba uamuzi ule wa kuachia zile sauti umetuweka sisi kama taifa kiusalama katika hali ngumu sana.
Leo hii watu wanawaza na kuwazua namna ya kukwepa udukuzi huu, Watu wanaanza kujifunza kutafuta tekinolojia mbadala ili maongezi yao yasidukuliwe.
Kitendo hiki cha udukuzi kitasababisha Taasisi za Usalama zianze kukosa information zenye quality kutoka kwa high profile individuals kwa sababu waliovujisha zile Sauti wameudhihirishia umma kuwa wanayo capability ya kuingia kwenye mazungumzo private kabisa ya watu na kuwasikiliza.
Bora capability hiyo ingebaki kuwa ni rumours, lakini leo wananchi hususan wale HIGH PROFILE INDIVIDUALS AMBAO NI NYETI KWA USALAMA WA NCHI wametambua kuwa wanasikilizwa hadi hata wanapoongea kwenye simu na wake/waume zao kwa hiyo tegemea hawa watu kwenda underground zaidi, kutumia njia mbadala zaidi na hivyo kuikosesha taasisi Nyeti taarifa muhimu!
Cha kusikitisha zaidi wale watu wenye nia mbaya dhidi ya Jamhuri hao ndo wamegutuka moja kwa moja kamwe hawatatumia Whatsaapp, SMS wala kupigiana kwenye mitandao ya kawaida, Watu wataanza kutumia App services za nchi mbalimbali ambazo Wadukuzi wetu bado hawajaseti mitambo kudukua huko
Mimi naweza kusema, uamuzi wa kuachia Sauti za Mzee Kinana, Makamba na Membe umefanyika kisiasa sana, haukuzingatia mahitaji muhimu ya kiulinzi na usalama kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Athari za uamuzi ule, wadukuzi wataanza kuuona, Wataishia kupata taarifa nyepesi nyepesi za watu wakizungumza habari za mpira, kutongozana, LAKINI TAARIFA ZA MAANA ZA KUHATARISHA NCHI WATAKUWA HAWAZIPATI KIRAHISI KAMA ILIVYOKUWA KABLA HAWAJATOA PUBLIC SAUTI ZA WALE WAZEE
Ingekuwa mimi ndo nina mamlaka, yeyote aliyeauthorize kurelease zile Sauti ningemtumbua siku hiyohiyo