Missing you'

Missing you'

ha ha ha
unajua huwa kuna hii yenye 'u'
na ile nyingine yenye 'a'

ukizichanganya, inakula pande yako

Yan Kongosho we ni zaidi ya Guy....mamaaa mwenyewe...ila ilitakiwa aseme kwa mjumuisho
 
miss u too
ila jina lako
linanikumbusha mwl wa hesabu primary
jamani ukikosa maswali
anakutandika kama khanga
ikabidi nianze kwa adabu kwanza

usiogope'
 
Fesibuku watoto wamezidi' nimeamua kurudi janvini' JF.
 
tupo kwenye mihangaiko ndugu yangu subiri mwaka upinduke tutarudi jamvini 😛oa.Nalog off
 
nimekumic sana jamani,upo?
niko mbali kidogo,nami nimewamiss mno nyie watu,ila ndio sina jinsi,huku niliko stater pack ya simu inauzwa karibu US$ 200 na mizengwe kibao ya kusajili sijui nini,basi nipo kama niko kaburini vile sina mawasiliano wala nini :sad:.Nalog off
 
pole sana jamani,hehe ndo wapi huko lakini,naweza kuja kukupa kampani
 
niko mbali kidogo,nami nimewamiss mno nyie watu,ila ndio sina jinsi,huku niliko stater pack ya simu inauzwa karibu US$ 200 na mizengwe kibao ya kusajili sijui nini,basi nipo kama niko kaburini vile sina mawasiliano wala nini :sad:.Nalog off

nenda kule gadget ukachukue maujanja ya offline gmail itakusaidia pia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom