Missile ya Mullahs wa irani inafika Bongo!

Missile ya Mullahs wa irani inafika Bongo!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,215
Reaction score
14,809
huo ndio mzingo ambao irbm ya islamic republic of iran inaweza ku-hit, ni 4500km from tehran, hawa mullahs siyo wa mchezo mchezo aisee ...

1774162295292.png
 
Hao sio waislam ubwabwa au waislam tende

Hao Uislam umepelekwa tu hapo kwao baada ya sijui imam Hussein kukimbilia huko wakati Baada ya kutokea power struggle baina ya washia na wasunni

Baada ya Muhammad sijui mudi kufa Waliobaki nyuma yake walikuwa wanagombania madaraka , Ilikuwa ni power struggle baina ya family ya Muhammad na rafiki zake (wakww zake)

Watoto wa Muhammad wanasema kizazi Chao ndio kina haki ya kuendeleza Utawala wa baba Yao na kiongozi lazima atoke katika familia mean while Marafiki wa Muhammad wanasema Hilo sio kweli ,

Mkong'oto ukaanzia hapo wakati huo wa- Persian walishakuwepo tangu na tangu miaka zaidi ya 4000 nyuma huko walikuwa wamesha itawala Dunia so sio race ya watu wajinga wajinga hata kidogo ,

So kinachotokea now kina dhihirisha ukoo wao na ukuu wa ancestors wao
 
Kama ni hivyo basi tuseme kwamba islam imewalostisha na kuwarudisha nyuma ...
 
Back
Top Bottom