Mmmmm! ndugu si nimekuambia nilikochimba haya madini?Halafu daudi eehh unaonaje kama hii story nikiibeba mie halafu niiongezee utamu kisha nitoe kitabu hicho? Naimani kitatumika sana mashuleni ni tamthiriya inayoaskisi maisha ya ukweli kabisa ya leo hapa bongo!
Itaendelea saaaa mbiliiiiii hapa hapaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
Mmmmm! ndugu si nimekuambia nilikochimba haya madini?
Dah man mpo dipu!!!!dah
Hehehe si unajua mkuu mambo ya stori, sisi wengine tunashinda sana vijiweni stori kama hizi ndio zinasogeza masaa
Nauleta huo mzigo soon
Upumbavu wake ni nini?
Nauleta huo mzigo soon