asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Unaambiwa Aisha alianza Kuwa na tabasamu pana mumewe akirudi anampokea vizuri bila hata kumuuliza kwa ukali....angembeba mgongoni????? Shenz zake tu mwanaume Malaya huyo....
Ya chai chungu ilikuwa noumer, ilifanya watu tukeshe hadi ufanisi wa thread nyingine ukapungua. Sema naye conclusion yake haikuwa kivile, anyway ndo aliamua iwe hivyo.
@Daud1 mifano yako na Elimu ni kiboko"mwanaume akipata anachokihitaji basi" na mara nyingi imekuwa hivyo maana kila analoliwaza mtu humtokea, tuendelee kupata uhondo huuu lakini tukumbuke michepuko haifai baki njia kuu
Hiyo ingewezekana kama hakuwa na mtu mwingine nje, kwa hali ilipokuwa imefikia hata angepewa second chance isingekuwa kama zamanMmm ni nzuri na funzo kubwa lakini pia sijapenda ilivyoishia mi nilitegemea Beka pia angetambua kama na yeye kafanya makosa kuchepuka na hivyo kumpa Aisha second chance na ndoa yao ikawa yenye furaha tena
Asante ndugu nimejikita katika eneo hilo, watu wengi wanaingia kwenye mahusiano bila kujua sababu za kuingia huko wanapokutana na changamoto wanatafuta visingizio ambavyo kwa namna moja au nyingine huwa ni maumivu kwa upande wa pili, nitajitahidi kutafuta hadth zenye mafunzo kama haya kwana namna moja au nyingine watu wakafunguka na kubadili mitazamo juu ya mahusiano. Siku hizi inafika point "mwanamke anakuambia bila harusi hakuna ndoa" maana yake watu wanawaza harusi kuliko ndoa ndo maana hata Aisha hakuona shida kumnyima mwenzie huku akijiona yuko sahihi maana yake ni kwamba kwenye ndoa aliingia kwa fashion@Daud1 mifano yako na Elimu ni kiboko
lakini kaa ukijua huwezi baki Njia Kuu kwani hutafika
Barabara zoooote na zozote lazima zichepuke na kuzaa barabara nyingine kuu
Maana yangu kuna wengine wakorofi km huyo Bi Asha kumnyima mumewe anafikiri ni kumkomoa
- Dar- Moro Chalinze ni mchepuko
- Chalinze ni lazima ukachepuke mbele kwa mbele km ni Tanga Moshi Himo arusha nakwingineko
- Moro nako
Yaani mifano yako ipo hai kabisa na mm inanigusa nishawahi kunyimwa miezi 6 na sikuchepuka mwenzangu akafurahiiii kwani alikuwa ananilinda kila ninapokwenda
Mkuu upo sahihi kabisaAsante ndugu nimejikita katika eneo hilo, watu wengi wanaingia kwenye mahusiano bila kujua sababu za kuingia huko wanapokutana na changamoto wanatafuta visingizio ambavyo kwa namna moja au nyingine huwa ni maumivu kwa upande wa pili, nitajitahidi kutafuta hadth zenye mafunzo kama haya kwana namna moja au nyingine watu wakafunguka na kubadili mitazamo juu ya mahusiano. Siku hizi inafika point "mwanamke anakuambia bila harusi hakuna ndoa" maana yake watu wanawaza harusi kuliko ndoa ndo maana hata Aisha hakuona shida kumnyima mwenzie huku akijiona yuko sahihi maana yake ni kwamba kwenye ndoa aliingia kwa fashion
Ulitegemea kitabasamu tu ndiyo ingemaliza machungu yote moyoni.......
Hata mm usingenipata ng'o na kitabasamu chako......
Maamuzi ya kupiga mzigo chini yalikuwa sahihi kabisaaaaa
Alitakiwa sasa kufikiria namna ya kurudisha mumewe katika himaya yake, kusema tu alikuwa tayari kutoa unyumba kadri anavyoweza kumbuka mumewe kwa wakati huo hakuwa na tatizo hilo maana alikuwa anapata muda wowote anaotaka, hilo tu lisinge mfanya arudi ndani labda kama Beka alikuwa bado hajatoka nje then hiyo ilikuwa solution, Ambacho alitakiwa kufanya ni kumuonyesha Beka ni jinsi gani anamuhitaj beka kwa hisia na anamalengo gani na kukumbushia walikotoka na malengo yao na nyakati walizokuwa wanaenjoy kabla ya mambo hayajavurugika hapo angefanya moyo umuume beka na kuwa na huruma, wanaume muda mwingine wanakuwa na huruma linapokuja suala la hisiaKumbe alitakiwa afanyeje ndo mtupe maujanja hapa..... Kama msamaha alishaomba na unyumba alikuwa tayari kutoa kadri mumewe anavyotaka na hili ndo lilikuwa kosa lake kubwa....
Alitakiwa sasa kufikiria namna ya kurudisha mumewe katika himaya yake, kusema tu alikuwa tayari kutoa unyumba kadri anavyoweza kumbuka mumewe kwa wakati huo hakuwa na tatizo hilo maana alikuwa anapata muda wowote anaotaka, hilo tu lisinge mfanya arudi ndani labda kama Beka alikuwa bado hajatoka nje then hiyo ilikuwa solution, Ambacho alitakiwa kufanya ni kumuonyesha Beka ni jinsi gani anamuhitaj beka kwa hisia na anamalengo gani na kukumbushia walikotoka na malengo yao na nyakati walizokuwa wanaenjoy kabla ya mambo hayajavurugika hapo angefanya moyo umuume beka na kuwa na huruma, wanaume muda mwingine wanakuwa na huruma linapokuja suala la hisia
Afadhali kama umeelewa kwa nini Beka alikuwa sahihi katika uamuzi wake
Kama mumewe alishindwa kutambua hilo kosa ni la nani hapo? na wewe unatambuaje kama kweli moyoni anaumia? nakuambia Asha aliamua kuomba msamaha kwa sababu wazazi wake walimfokea ila yeye kama yeye hakujitambua ndo maana alipoona Mumewe ameshindwa kumuelewa kirahisi akaamua kumtafuta mchawi wake, bila kujua mchawi wake ni mumewe huyo huyoSisemi Beka alikuwa sahihi but na yule mwanamke mwenzangu alikuwa anachukulia mambo simpo sana.....lakini watu wengine ndo wameumbwa hivyo waweza kuona kwa nje anafanya rahisirahisi lakini majuto aliyonayo na jinsi alivyopondeka huko ndani ni yeye na Mungu wake ndo wanajua
Kama mumewe alishindwa kutambua hilo kosa ni la nani hapo? na wewe unatambuaje kama kweli moyoni anaumia? nakuambia Asha aliamua kuomba msamaha kwa sababu wazazi wake walimfokea ila yeye kama yeye hakujitambua ndo maana alipoona Mumewe ameshindwa kumuelewa kirahisi akaamua kumtafuta mchawi wake, bila kujua mchawi wake ni mumewe huyo huyo
Khantwe usifanye masihara na mtu aliyechafukwa na roho....... Hapo ilihitajika muda.Kumbe alitakiwa afanyeje ndo mtupe maujanja hapa..... Kama msamaha alishaomba na unyumba alikuwa tayari kutoa kadri mumewe anavyotaka na hili ndo lilikuwa kosa lake kubwa....
Khantwe usifanye masihara na mtu aliyechafukwa na roho....... Hapo ilihitajika muda.