Miss u just call, i call you dont answer

Changes boy

JF-Expert Member
May 17, 2017
552
362
Kuna demu ananipenda ila anao wivu mpaka basi, akiwa na wivu hapokei simu. Najua ananipenda mpaka anachanganyikiwa tatizo mi bado najipanga kimaisha analazimisha mtoto wakati Mimi bado sipo poa. Nampenda sana tatizo la ugomvi ni hill tu. Sijui nimwambie nini naona nitamdanganya anahisi vibaya. Sijawai kuona wivu huo
 
Hivi una akili wewe? Ngoja nijifanye nimekuelewa haya weka picha ya huyo demu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom