Unamaanisha vazi la ndani limeachwa nje?Mkuu niliiona kwenye michuzi sikutaka kuamini, hapa imeniaminisha, naona chupi imekuwa ndefu kuliko sketi.....
Unamaanisha vazi la ndani limeachwa nje?
Hapo shughuli ipo kwelikweli kwa majaji maanake naona karibia wote wakali.
Yaa. na ndio maana inawalazimu mamiss hao kutafuta added advantages nyingine nyingine.Hapo shughuli ipo kwelikweli kwa majaji maanake naona karibia wote wakali.
Mhhhhhh na we Amavubi ama unajua kupiga chabo, naona una masta kama sio digrii ktk hiyo fani.mwenzio nilikuwa sijagundua chochote nilikuwa naona watu tu.Mkuu niliiona kwenye michuzi sikutaka kuamini, hapa imeniaminisha, naona chupi imekuwa ndefu kuliko sketi.....
mkuu hebu dadavua kidogo hapo,na mfano utoe kidogo advantages nyingine nyingine kama zipi???????si unajua theory ngumu sana???????????Yaa. na ndio maana inawalazimu mamiss hao kutafuta added advantages nyingine nyingine.
si wameumbwa ili waonjwe ndivyo wanavyoamini wanawake mna safari ndefu sana kuelekea ukombozi wenu.Wataishia kuonjwa na kila jaji...
Mkufunzi.Sasa huyo jamaa naye kafuata nini hapo? au ni mwenzao kijinsia!!!