Miss tanzania bila ma predeshe inawezekana!!

Mar 6, 2010
74
0
Wakati rais we tanzania J.M.KIKWETE ameseme watanzania bila malaria inawezekana....wimbo wa mwaka huu kwa upande wa ma miss
""MISS TANZANIA BILA MAPREDESHE INAWEZEKANA""
Mwenyekiti wa mashindano ya miss tanzania Hashimu lundenga amekutana na mawakala ambao watakuwa wakitafuta washiriki wa miss tanzania 2010
wakati akiwatambulisha Hashimu lundenga amesema mawakala wanatakiwa kuwa waangalifu sana kua void matatizo ya ma miss yanayotokea kila kukichwa....
huku wakiongea kwa masikitiko baadhi ya watu waliohudhuria wamesema
Mawakala wasiwe agent wa mapredeshe kwa kuwatafutia ma binti na hivyo kuwaharibu kabla ya mashindano kuisha...mapredeshe hawa wamekuwa wakiwatumia baadhi ya waandaji akiwemo mh lundenga wamekuwa wakitumiwa kuwapatia hawa wafanya biashara wenye hela wajiitao mapredeshe..na ndio maana kila mwaka wanaishia kuwa vituko na huku LUNDENGA akijitoa ahusiki kwa kuwa wanatafutwa na mawakala........

Mh Lundenga wakati ni huu jaribuni kujisafisha msijitie aibu tena.....msifikie watu wakaona miss tanzania kama danguro la kutafutia wateja wakufanya mapenzi...regency hotel nayo iheshimiwe isiwe kama kijiwe cha kuwauza mabinti hawa mi ntakuwa na nyie kila kona mpaka mwisho na sitowaacha kuwaweka hadharani kwenye swala la kuwauza madada zetu ....mwaka huu
"""MISS TANZANIA BILA MA PREDESHE INAWEZEKANA""
 
MHHHH.majungu matupu...
hao wasichana wenyewe,wanatafuta mapedeshe,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom