Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,849
Ila si watanzania kwenye mavazi bado saaana....watu wanavaa nguo za ofisi kwenye miss tz...wengine make ups kama za joti....
hahaha hata joti anajitahidi
Hao ma miss sina tatizo nao...ila baadhi ya waliouzuria ndio utasema wamepitia toka kazini ...
Bidada kumbe siku ile kwenye ule uzi wa interview ndo mlitundikwa ban??
Duh....aiseee!
Ila si watanzania kwenye mavazi bado saaana....watu wanavaa nguo za ofisi kwenye miss tz...wengine make ups kama za joti....
Hiyo ndo JF ambayo ina kila aina ya watu! Kuna mmoja kasema Joti anajitahidi !!! We acha tu wananiongezea siku za kuishi.Eti make up kama za joti, tehe!
Yule Pimbi aliyekuwa anatukana watu mpaka wewe ukaleta link ya thread zake za kipimbi aliadhibiwa, ukiwa JF jiachie usimuogope mod yeyote kilaza anayeshindwa kutongoza mademu mtaani uko na kuja kutishatisha watu watu hapa kwa kofia ya umod. Losers.Bidada kumbe siku ile kwenye ule uzi wa interview ndo mlitundikwa ban??
Duh....aiseee!
ndio shosti yangu kosa langu lilikua kutoripoti abuse wakati mwenye uzi ni mimi nikawajibishwa kwa makosa ya wengine kama lowasa lol am kidding