M mkurugenzi1 Senior Member Joined Mar 22, 2009 Posts 122 Reaction score 30 Jun 18, 2012 #1 Hivi haya mashindano ya mwaka huu yamekosa mvuto au waandishi wameamua kuyapotezea? wale washiriki tuliokuwa tuna wasika miss kilimanjaro na wengineo watashiriki mashindano ya miss tanzania ipi?
Hivi haya mashindano ya mwaka huu yamekosa mvuto au waandishi wameamua kuyapotezea? wale washiriki tuliokuwa tuna wasika miss kilimanjaro na wengineo watashiriki mashindano ya miss tanzania ipi?
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 47,467 Reaction score 101,374 Jun 18, 2012 #2 ..hahahahahaha..mwaka huu kimya kimya..juzi alichaguliwa Lisa Jensen,kuwakilisha Nchi katika Miss world...ila Miss Tanzania kamili inakuja...na sasa wako katika Vitongoji.. ...Mdau Mkuu..
..hahahahahaha..mwaka huu kimya kimya..juzi alichaguliwa Lisa Jensen,kuwakilisha Nchi katika Miss world...ila Miss Tanzania kamili inakuja...na sasa wako katika Vitongoji.. ...Mdau Mkuu..
mtotowamjini JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 4,525 Reaction score 1,179 Jun 18, 2012 #3 hata mi sielewi najua miss dar city centre inakuja...so the real miss tanzania ya kwenda miss world nadhani bado au nimekosea
hata mi sielewi najua miss dar city centre inakuja...so the real miss tanzania ya kwenda miss world nadhani bado au nimekosea
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Jun 18, 2012 #4 mtotowamjini said: hata mi sielewi najua miss dar city centre inakuja...so the real miss tanzania ya kwenda miss world nadhani bado au nimekosea Click to expand... Miss Tanzania wa kwenda miss world tayari....
mtotowamjini said: hata mi sielewi najua miss dar city centre inakuja...so the real miss tanzania ya kwenda miss world nadhani bado au nimekosea Click to expand... Miss Tanzania wa kwenda miss world tayari....