Bahimba
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 510
- 346
Habari zenu wakuu, awali ya yote nianze kwa kuwapa pole wale wote ambao kwa namna yeyote ile hawakuifurahia weekend ambayo tumeianza jana. kwa hapa kwetu jana weekend tumeianza uyema jwa kumpata mkimbwende wa mkoa, kiukweli shindano lilifana sana sambamba na show kabambe ya msanii wa kizazi kipya AT. changamoto kubwa kwa shy ktk tasnia xa burudani ni kumbi, hatuna kumbi, naomba wadau wa burudani nchini njooni shy mjenge kumbi, NAWAKILISHA.