ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,373
- 4,141
Kitu mubashara. Hatariiii
Mulakoze chane. Sijui maana yake Nini nawasikia wanasema hivyoNAPENDA SANA LUGHA YAO !!!!!
Inamaanisha asante saana! Ni sawa na kiha tu kwani waha pia wanasema mulakoze cyane wakiwa wanashukuru.Mulakoze chane. Sijui maana yake Nini nawasikia wanasema hivyo
Nawasiwasi ungekuwa huko ungesema ningekuwa mwanamke ningeolewa .... Naota tuNingekuwa mwanaume ningeoa mrwanda.Nawaza tu lakini
Aksante sana.Mulakoze chane. Sijui maana yake Nini nawasikia wanasema hivyo