Mshana Jr.......
Amemmiss Mura....samahani simu yangu mbovu ina tabia ya kuandika yenyewe hata kama sijaishika. Nisaidieni kutafuta fundi wajameni....
Fundi nipo hapa.
Rudi tu kwenye ukonda wa bodaboda hahahahaaa
Nikuletee wapi?
Kwani wewe upo wapi now?
Duuu itabidi tucertify hiyo degree
Unauliza as if hujui