Miss Neddy nini shida ?

Amemmiss Mura....samahani simu yangu mbovu ina tabia ya kuandika yenyewe hata kama sijaishika. Nisaidieni kutafuta fundi wajameni....
 
Amemmiss Mura....samahani simu yangu mbovu ina tabia ya kuandika yenyewe hata kama sijaishika. Nisaidieni kutafuta fundi wajameni....

Hahahahaaa utakuwa umeinstall app ya auto-reply
 
Au labda hunipendi
Au labda sivutii
Au labda kisa silipuki
Au labda sikufikishi
Au labda sina mkwanja
Au labda mrefu sio mfupi bora ningekuwa size ya kati
Au labda natoka bara mwenzangu wa pwani
Au labda nina papara
Au labda mweusi
Au labda nipo busy sana
Au labda jina langu MO11
Au labda.........

miss neddy naomba uniweke wazi

wivu umezidi upendo ni uvivu zaidi vitendo kila siku lawama na kunizushia skendo kama hunitaki ni vema uniweke wazi nijue nitambue kwani mademu wapo shazi

Wow
I miss this song...!!!
 
Last edited by a moderator:
Okay, from these deductions and inferences, what is more potent - the ''non believing'' or the ''don't know?''

Hapana chezea muziki wa muraaa hapo anamuwaza weeee ukizingatia wa sasa anakuwaga kila saa ana stress za arsenal ndio madhara hayo
 
Haya maneno yako mwenyewe!!....
When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams
Mr Rocky yaani picha tu, Je ukiona origno? mmmh !
<!-- google_ad_section_end -->



Mkuu Zamiluni Zamiluni hayo maneno ni kweli na yanaakisi ukweli when you are in love
Mkuu wacha tuu mambo mengine hayafai hata kui/magine maana ni tabu tupu mkuu
 
Last edited by a moderator:
mimi mwenyewe nimeshangaa picha za usiku analeta mchana
maisha yatatushinda mkuu

Ni balaa mkuu MO11 hizi picha zinatakiw akuanzia saa moja hivi sio muda huu aise
 
Last edited by a moderator:
Alfajiri ya leo alianza na ya kutisha sasa naona anatuondolea woga.

Hahahahaaa nilibadili mwelekeo lakini!! baadae nikatupia SAMVU LA CHOLE lakini ghafla likasunamishwa kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…