Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,438
miss neddy, kwa kuperuzi mtandao wa Jamii Forum umetisha kwa kweli.
Naomba uniwie radhi, nimeona niweke picha hii niliyokupiga juzi ofisini kwako ili kuwaonyesha wadau jinsi unavyoperuzi mtandao wa JF na kujibu hoja mbalimbali za mtandaoni.
Unastahili sifa bibiye.
CC: miss chagga, Heaven on Earth, Karucee, Eiyer, farkhina, Husninyo, Ruttashobolwa, Asprin, Arushaone, PakaJimmy, Mr Rocky, BADILI TABIA, snowhite, Fixed Point, Kongosho, lara 1
Attachments
Last edited by a moderator: