Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Uuuuwi
Happy Easter kwanza ...
phone charging ..............
nitarudi special for u
Uuuuwi
Happy Easter kwanza ...
kuanzia leo nafuta urafiki na wewe lol
hahahahahah
unanijoki eeeh
maneeeenah
Likini mimi napenda waliojaaliwa kama huyu
Uwiiiii my dia mie utakua umenionea mbona hata sijakusema lolote?Usinifanyie hivyo shost yangu
hiyo ndio safi...nyama zakushika kibao...
Kweli lugha na mwili huendana!!!!
Wenzetu wanafaidi,ana raha sana Excell!!Hivi miss neddy hivi ile ofa bado ipo tena?
hahahah offer haipo tena maana kila anaeomba hakidhi vigezo nimeona nibaki kwa my king tu
Duhhh,haya bwana,kwa jinsi ulivyotokelezea,ukiitoa offer tena sasa utapokea PM zaidi ya 1000!
kosa lako kwanini hukunipa info
yaani mi naanikwa we unacheki muvi tu
najiuzulu kazi ya kuww ripota wako