Uliona picha aloweka eti ya mtoto wangu na OS? lols.
Hahahaaaaaaaaa,,kumbee?!!Naona kama kashika ufunguo,sijui ni wa ile vogue yake mpya!! miss neddy kumbe uko juu aisee!
lol. Whats that?
Ni product ya forever living special kwa ajili yakupunguza unene kama sijakosea maana niliiona mahali
Mbona kama wamepiga chini juu kavimba??.....Lol
Wamepiga nini mkuu? ngwala ama?