Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Hahahahaha kwani kutoa la moyoni kuna shida gani?
mhhhhhhhh hakuna shida baba
Hahahahaha kwani kutoa la moyoni kuna shida gani?
Mbona hayupo sasa ila mie sitaki kusema sana mie nampenda shost yanguu kwa jinsi alivyo
mhhhhhhhh paroko hata wewe?,??,????
mhhhhhhhh paroko hata wewe?,??,????
Simtank
Hata mimi nini tena?
hongera Excel kwa kuopoa chombo,naona watu wanakuponda tu hawahui kwambma cha mtu chake.
i know but why hukunipa info
kuwa nimebandikwa huku
ndo nashangaa wanakuponda shemeji hawajui unampa nini Excel mpk kafa kaoza kwako!!umeona eeeeeh
ulikuwa hujui eeeeh
ndo nashangaa wanakuponda shemeji hawajui unampa nini Excel mpk kafa kaoza kwako!!
Nilikuwa cjui best ila baada ya kuona picha wallah ni halali king awe mjeshi kukulinda
hahahhah siku hizi una matusi ya reja reja