Miss neddy is HOT!! Kudaadeki!!

Miss neddy is HOT!! Kudaadeki!!

muache. Wakija wenyewe patakuwa hapatoshi.

Sijui watajibuje mapigo. Nitakukimbilia wewe hapo.

Hahahaaaa,ukianzisha ugomvi wa mawe hakikisha nyumba yako haina madirisha ya vioo!!.Happy Easter Karucee
 
Last edited by a moderator:
hahahhahahahahahha Karuceee kwanini umeniweka notsi bodi
ngoja nizame kwenye kamusi nakutafutia tusi jipya maana yote umeyazoea lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom