Miss Natafuta...

Miss Natafuta...

Sasa kama ana nyege kwanini azioneshe humu jf?
Mtu kusikia Nyege si kosa . . , wala kukiri hadharani kuwa una nyege sio udhaifu . .

Watu wawazi, wanaoweza ku share habari zao na yeyote kisaikolojia wanaitwa, kwa lugha ya kigeni . . " extroverts " kama sijakosea

Hawa ndio wanaofanya dunia iwe mahala pazuri pa kuishi . . , wanaburudisha, wanafurahisha, na wanasaidia sana jamii kuelimika . .

Mwacheni bi dada na hamu zake, atachagua amtakae wa kucheza nae kidali poo . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom