Kweli, warembo walinukuliwa wakilalamika matokeo ya ushindi yalikuwa yanajulikana, wakisema kwamba wengi wa walioshinda (top 5) walipanua miguu. Rushwa ya ngono bado imeshamiri Miss TZ! Huyu alikataa, ndio maana kanyimwa. Ngono ni hiari na si lazima. Tusiendelee kumdhalilishwa mwanamke! NI HARAMU kumlazimisha mwanamke kufanya ngono kwa minajili ya kumpa upendeleo! NI HARAMU! Rushwa ya aina yoyote, hata ya ngono, imekatazwa na VITABU VYOTE TAKATIFU! Tafuteni, mtaona maandiko!