Miss Kanda ya ziwa 2009

naenda mwanza kuangalia fursa za uwekezaji nikipata nafasi naweza kuwatembelea walimbwende kambini kwao......je wapo hotel gani?

nina wasi wasi watu kama nyani ngabu wataitumia hii picha ndivyo sivyo kujiridhisha....
Heheeeeee,nenda mpwa...Fursa zipo nyingi kle,kuna madini,uvuvi,kilimo n.k...ushindwe wewe tu....Hope utakuwa shemeji yetu wa ukweli sasa
 
Hello naitwa Judith niko UK, naombeni mnipokee kwani nimejifunza mambo mengi sana hapa kwa mda mfupi sana
Shurani sana
Judith
 
Hello naitwa Judith niko UK, naombeni mnipokee kwani nimejifunza mambo mengi sana hapa kwa mda mfupi sana
Shurani sana
Judith

Karibu sana.................Karibu na mwanza utakapo kuja mza.....YoYo Ndio Huyu anaingia ijumaa hii kuangalia fursa ya uwekezaji...wewe nawe karibu.
 
Mkuu nimekosea wapi kwani? nasifia uumbaji wa Mungu.....Mungu kasema tupendane nami nawapenda nyoote including hawa mamiss hasa huyo miss mwanza Miriam Gerard......mkuu next level upo mwanza?

.......Mhhh!! ....mtoto mtamu huyo...alafu macho utadhani kala kungu vile...ahhh!!
 
5446d1249032692-miss-kanda-ya-ziwa-2009-mg.jpg


Mhh! nanga yangu nimeishusha hapa.Mwanya huo mi hoi!
 
Wakuu kizuri kula na nduguyo! Kama kuna mwana JF yupo mwanza tuwasiliane kwa luhega22@yahoo.com tupeane machache ya kufanya kuna dhahabu nataka kuvumbua.
 
Yule shori mkali Miriam Gerald miss kanda ya ziwa 2009 katika shindano lililofanyika Yatch club 7 august

attachment.php


wallahi.......

attachment.php


Semenni unaweza kulinganisha na ile migobole ya Ilala?

shori za sukuma land oyeee

picha kwa hisani ya http://florasalon.blogspot.com/
 

Attachments

  • mkali.JPG
    mkali.JPG
    158.9 KB · Views: 320
  • mkli.JPG
    mkli.JPG
    268.9 KB · Views: 327
Last edited:
Aisee nikija kukuta Shinyanga au Mwanza nitakufurumusha. Hatutaki waharibifu kama wewe uwaharibu ma cinderella wetu.
 
Aisee nikija kukuta Shinyanga au Mwanza nitakufurumusha. Hatutaki waharibifu kama wewe uwaharibu ma cinderella wetu.
mie sio mharibifu ni muwekezaji mzuri.....sijaribu mazingira.....huwezi linganisha yale magobole ya temeke,ilala na kinondoni kwa hawa mashori wa sukuma land?..weka thanks kwenye posts zangu?
 
Waungwana miriam gerad ni tishio na kwa kweli bila ya ubishi hilo ndio litakuwa chaguo. Hasa kwa kuwa ni natural beaty yake haina mjadala. Majaji angalieni hicho ni kifaa cha nguvu.
 
Back
Top Bottom