Mmmmh najua utakuwa umeoteshwa mshindi.
naenda lala muda sio mrefu
mi sikaguwi! nimenyimwa na wife..
bora hayo mambo wachie wenyewe
Hata mie nalinda, tumeanza ulinzi shirikishi kujihami dhidi ya Al-shaabab.
Mmmmh najua utakuwa umeoteshwa mshindi.
Miss...anatakiwa awe hajaolewa au na umri hauna kigezo hapa?
Mtaje.
nasubiri mmalize kuuzunguka mbuyu kwanza!
Ahahaaaa unanitukana
Vigezo vyote vimetimia!unafikiri watu wote wana mvi ka wewe?Ndio ushakosa vigezo hivyo...
Nimekuja....
We una mnominate nani?Ndio ushakosa vigezo hivyo...