Wengine wamegoma kujitokeza labda....Kwani huwa hakuna angalau vigezo vya kuanzia ili ambao hawajafikia hapo wasichukuliwe kushiriki? Hata kwenye kazi huwa kuna pa kuanzia kuwa mwenye masters, degree etc etc....
Haaaaahaa hakuna kitu ni full wehu walitukusanya hapo tuone kinachoendelea labda kwa vile vigezo vipo mikononi mwa majaji ila tulikubali hakuna kitu ingawa kwenye izo picha kuna baadhi hawapo na hapo ni hotel inaitwa Gentle Hill wanafanya mazoezi nahisi ni kambi yao maana nshawaona sana hapo.