Miss Iran

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Amependeza eeh?

Attachments

  • miss Iran.jpg
    miss Iran.jpg
    84.4 KB · Views: 5,764
Kwa mitaala ya kwetu...huyo wa juu kapendeza zaidi... Ile kitu wanaita curiosity ya kujua kilichofinikwa kikoje ndo powa zaidi kuliko wa kujianika.
 
Wacheni Dharau hivo.. Inshort huyu aliyevaa hivi

AMEPENDEZA ZAIDI

Turkish-Abayas-islamic-clothings.jpg

KULIKO HUYU ALIYEJIANIKA UCHI

521322-wa-trainer-crowned-miss-bikini.jpg

WEWE unaujua UCHI? NAKUULIZA UNAUJUA uchiiii? acha kuropoka.
huyu amevaa bikini ni vazi km vazi lolote kwa mahala alipo.

Km unataka kuona uchi mfunue huyo wako uatuona ndio utuambie ukoje.
 
WEWE unaujua UCHI? NAKUULIZA UNAUJUA uchiiii? acha kuropoka.
huyu amevaa bikini ni vazi km vazi lolote kwa mahala alipo.

Km unataka kuona uchi mfunue huyo wako uatuona ndio utuambie ukoje.
Hata kama atakukubali utachukua muda mrefu sana kumfunua huyo wa juu kuliko wa chini,na kilichokukasilisha hapo ww ni nn,vaa mavazi ya huyo mic wa juu na vaa mavazi ya huyo wa chini pita kariakoo utajua nani yupo uchi na nani kavaa nguo,or chukua picha ya huyo wa juu na huyo wa chini muoneshe mwanao muulize yupi yupo uchi na yupi kavaa utapata jibu
 
Ujinga wao tu, halafu eti BIKRA mpaka NDOA, kumbe ubikra wa MBELE tu, kwani uwani ni HALAAL. hapo mimi wananiacha hoi waarabu na ndugu zao.
 
Washambaubishi tu nyinyi, huyu amevaa vizuri, hii ni zai ya swimsuit costume inayovaliwa na watalii 150,000 kutoka Roma Italia wanasababisha misikiti ijengwe Zanzibar wanapokuja kuenjoi beach holiday zanzibar, bila vichupi hivi zanzibar na waislamu wake wasingekuwa na Jeuri
 
Kila vazi na sehemu yake ya kutokea. Kwani ukiwa chumbani na demu wako huwa hakai wazi? Wala huyo mwenye bikini hayuko sokoni hapo-yuko beach!
 
yap u are wright.........
:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
Wacheni Dharau hivo.. Inshort huyu aliyevaa hivi

AMEPENDEZA ZAIDI

Turkish-Abayas-islamic-clothings.jpg

KULIKO HUYU ALIYEJIANIKA UCHI

521322-wa-trainer-crowned-miss-bikini.jpg
 
Hata kama atakukubali utachukua muda mrefu sana kumfunua huyo wa juu kuliko wa chini,na kilichokukasilisha hapo ww ni nn,vaa mavazi ya huyo mic wa juu na vaa mavazi ya huyo wa chini pita kariakoo utajua nani yupo uchi na nani kavaa nguo,or chukua picha ya huyo wa juu na huyo wa chini muoneshe mwanao muulize yupi yupo uchi na yupi kavaa utapata jibu

umechemka mkuu, acha hasira
 
Back
Top Bottom