Majeshi ya Israel yaishambulia miji ya Iran

Majeshi ya Israel yaishambulia miji ya Iran

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
Iran anavyopigwa na mabomu yake kupopolewa na mengine kuangukia sehemu za wazi

IMG_20260608_144102_910.jpg
IMG_20260608_144103_351.jpg
IMG_20260608_144411_308.jpg
IMG_20260608_144523_821.jpg
 
nachukia sana hii vita kuona inaendelea natamani wakae meza moja wayamalize kwa amani
 
Vituo vya kijeshi vya Iran vikiangamizwa na ndege-vita za Israel!!
 

Attachments

  • IMG_8653.MP4
    5.1 MB
Hivyo ndio vituo ?
Wewe ulitaka vituo gani? Kama
Jeshi la IDF limetoa picha ya kwanza kutoka kwa wimbi lake la hivi karibuni la mashambulizi yanayolenga mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran magharibi na katikati mwa Iran.

Kulingana na jeshi, shambulio hilo liligonga kifyatulio vituo vya ulinzi wa anga viliivyokuwa na makombora yaliyokusudiwa kulenga ndege. Milipuko ya pili ilionekana baada ya shambulio hilo, ikionyesha makombora yalikuwa yamehifadhiwa ndani ya mfumo. Jeshi la IDF lilisema operesheni hiyo inaimarisha zaidi uhuru wa Jeshi la Anga la Israeli katika anga ya Iran huku likiendelea na juhudi za kuondoa vitisho dhidi ya raia wa Israeli.
 

Attachments

  • IMG_9430.MP4
    5.3 MB
Houth nao wajiingiza kuishambulia Israel!!
 

Attachments

  • 699f911ed116b2785a92f526a72885a3.mp4
    4.8 MB
Kwa upande wa pili Hezbollah wanaendelea kupata kipigo cha Mbwa-koko
 

Attachments

  • VID_20260608_153906_485.mp4
    1.6 MB
  • VID_20260608_153906_740.mp4
    481.6 KB
  • IMG_20260608_153906_620.jpg
    IMG_20260608_153906_620.jpg
    208.4 KB · Views: 7
  • IMG_20260608_153906_250.jpg
    IMG_20260608_153906_250.jpg
    117.4 KB · Views: 6
  • IMG_20260608_153906_199.jpg
    IMG_20260608_153906_199.jpg
    197.4 KB · Views: 6
  • IMG_20260608_153906_498.jpg
    IMG_20260608_153906_498.jpg
    244.7 KB · Views: 5
  • IMG_20260608_153906_265.jpg
    IMG_20260608_153906_265.jpg
    134.7 KB · Views: 6
  • VID_20260608_153906_862.mp4
    823.8 KB
Back
Top Bottom