Miss independent ya Neyo bado unaisikiliza?

Yule dada kwa kweli sikumpenda sana, Ne-yo ana jua, huwa naukubali wimbo wa do you mpaka kesho, pia wimbo wa mad ulikuwa bora.
Nadhani kipindi anatoa miss independent alikuwa at his finest kwenye game
 
duu

mkuu yule dada alikuwa pini moja balaa ila aliolewa mwaka2014 akiwa na miaka41
 
Neyo ni Legendary.

Kama bado angekuwa na ubora ule huyu ndugu yetu wa Madale asingeweza kufanya Collabo.
Na huo ndio Ukweli,ingekuwa ngumu kupata Collabo,
Ila kwa sababu watu mahaba ya team kiba & platnumz yamewajua wataanza kulisha mitusi.

Btw Platnumz ni fighter.
 
Yule dada kwa kweli sikumpenda sana, Ne-yo ana jua, huwa naukubali wimbo wa do you mpaka kesho, pia wimbo wa mad ulikuwa bora.
Nadhani kipindi anatoa miss independent alikuwa at his finest kwenye game
Yani wewe kama mimi ngoma ya do you kwangu ndo the best kutoka kwake hasa nikitazama video.
Ile ngoma ile aisee na ile meseji mke wa mtu aliyekuwa ex hakawii kukurudia
 
jamani kwakweli ne-yo hatakuja kusahaurika kwenye gemu ya mziki,,, nakumbuka wimbo wake miss independent,,ulivyo mpa tuzo. pia yule dada alieshoot nae alinogesha sana video yake,,,,vipi wewe wimbo huu wa 2008,,,bado unausikiliza?
Inaonekana huzijui nyimbo za neyo ,unaijua hiyo moja tu

Pia inaonekana hujui kuanzisha thread

Hiyo news alert haikuwa na ulazima wowote wa kuwepo hapo
 
Na huo ndio Ukweli,ingekuwa ngumu kupata Collabo,
Ila kwa sababu watu mahaba ya team kiba & platnumz yamewajua wataanza kulisha mitusi.

Btw Platnumz ni fighter.
Nimekubali kuitwa hater mkuu.

Nimejiandaa kwa matusi.
 
Neyo ni Legendary.

Kama bado angekuwa na ubora ule huyu ndugu yetu wa Madale asingeweza kufanya Collabo.
ne-yo haonekanii kuwa mtu wa majivuno...
sasa hivi ni mtu wa heshima kuna baadhi ya wasanii,na baadhi ya event/shows hawafanyi bila yeye....
bado angekuwa na majivuno asingeweza kumpa hata salamu diamond..
kuna wasanii wana roho mbaya kama M.I hataki hata kutokea katika video za kiba..

sasa M.i ni nani hata ajivune hivo, kutoa ushirikiano ni tabia za baadhi ya wasanii,kwanzia hapa kwetu Africa.
 
Waafrica ndio tulivyo.

labda alitaka Ali afunge safari kwenda kufanya video kule kwao.
 
ne-yo haonekanii kuwa mtu wa majivuno...
sasa hivi ni mtu wa heshima kuna baadhi ya wasanii,na baadhi ya event/shows hawafanyi bila yeye....
bado angekuwa na majivuno asingeweza kumpa hata salamu diamond..
kuna wasanii wana roho mbaya kama M.I hataki hata kutokea katika video za kiba..

sasa M.i ni nani hata ajivune hivo, kutoa ushirikiano ni tabia za baadhi ya wasanii,kwanzia hapa kwetu Africa.
umesema ukweli ne-yo hana majivuno,, ni msanii mkubwa sana akina beyonce,rihana,nick minaj,kanye west wote walipiga na kolabo tena wenyewe ndo wanamshirikisha,,,hata leo kaipost marry you na kumfagilia mond,,,akina MI hao waganga njaa tu
 
nasikia ni mtunzi anawatungia wasanii wengi tuu!
sikiliza kipande chake kwenye marry you utatamani kisiishe
 
Back
Top Bottom