Miss IFM 2009

Uonyeshe miguu....

eeh cuppy unaiona miguu 24/7

Kana-ka0nsungu.....hahaha miaka ya 80 nilikuw aprimary school huyo yo yo ndiyo kauliza kama tumesoma hiyo miaka ya 80 na ndiyo nilikuwa namjibu hata kama tumesoma miaka ya 80..........------...Ningekuwa nimesoma IFM miaka ya 80 sasa hivi menopause ingekuwa imesha kick you know...na Cuppy nagekuwa anatafuta dogodogo...
 
Ni kweli BelindsJ IFM ya zamani ilikuwa miadili sana...huoni watu kutembea nusu uchi....na tulikuwa pale kwa lengo moja tuu nalo ni kusoma.....

yo yo see ndiyo maana tunatifautiaana kimaadili...hata kama miye na belinda tumesoma miaka ya 80 lakini tuna more moral and value comapared to now..huwezi kunifanya nitembee na bikini miye and then what?

Bwana wee,ukienda vacation pita tu one mambo yake maana utafikiri summer ya huko..ila hata huko ulipo unasikia sikia mambo yake naamini.
Of course hatujasoma 80's but haibadilishi maana kuwa kuna mabadiliko ambayo huwa yana hasara na faida zake.
Eti ni watoto wa mjengoni siku hizi,Kelly yani ni vituko tu!
 
hahaha kwelu B itabidi this time nipitie nione mandhari yake ikoje....najua sitaacha ona rangi zote kwa kweli mmh!....B ikibidi twende muda sawa...
 
huyu Yo yo anasema mambo ya umiss yapo kila shule mbona sijaona huku state mambo kama hayo unless miye nimesoma shule ambazo hazijui starehe za hivyo.....

Anaongelea Tz dada. Kuna kitu kinaiwa Ms Higher Learning na mshindi goes ahead kushiriki Ms Tanzania. Na hata baadhi ya chuo Marekani wana fanya personally kama mimi chuo nilichopo wana fanya so maybe chuo ulicho soma wewe hakukuepo na mashindano kama hayo au kwa inavyo elekea wewe ulikua serius na masomo sana haukujua yapo.

tatizo bongo huko wao shule ndiyo sehemu ya ngono...IFM ya sasa hivi i guess siyo kama ya enzi zile BelindaJ!.....You knwo what i am saying?.ndiyo maana kulikuwa na minimal discontinue....

Ngono sehemu kama mashuleni ime kuwepo miaka yote siyo kweli kusema sasa hivi ndiyo imekua hivyo. Kutokana na maendeleo haswa kwenye media na technology ndiyo maana hivi vitu vinaonekana sasa. Tofauti ya sasa na dhamani ni kwamba zamani mtu mambo yake siri yake lakini sikuhizi kutokana na utandawazi mambo yanakua public domain. Mambo yote wanayo fanya sasa yamekuwepo tokea zamani na wameya kuta. Labda dada angu useme wewe personally ulikuwa serius na masomo yako tu ila I'm sure hata wewe unasoma mambo haya yalikuwepo.
 
Miss IFm jamani ndio kesho.....lakini nashangaa washiriki hawajatua sana...najua IFM kuna vitu vikali lakini hizi sura kama za Ardhi university...
attachment.php

kuna kitu nilikiona sehemu somebody yassin toto funika bovu angependezesha jukwaa kesho...
picture na michuzi

this is invasion of privacy! never look down on another human being..ningependekeza uweke picha yako nikurate kwanza kabla ya hujaanza kuwasema wenzi vibaya... utakuta hapo nungayembe,kinuka mdomo.. shenzi sana,mother-shut-your-mouth! f*&^*
 
Way to go IFM babes! Show us what you got. And I can assure you there are plenty of eyes enjoying and staring at you.
 
this is invasion of privacy! never look down on another human being..ningependekeza uweke picha yako nikurate kwanza kabla ya hujaanza kuwasema wenzi vibaya... utakuta hapo nungayembe,kinuka mdomo.. shenzi sana,mother-shut-your-mouth! f*&^*

DU watu wengine sijui wa wapi, unadhani wanapojitokeza hadharani kushindania uzuri wanataka nini? Hao wamejitokeza kutuonyesha ubaya wao na kwakweli ni wabaya kichizi hata uktukana haisaidii kitu kama na wewe ni mmoja wao kwenye hiyo picha achana kabisa na mambo ya urembo.
Yo Yo usimjibu kwa matusi huyu binti
 
this is invasion of privacy! never look down on another human being..ningependekeza uweke picha yako nikurate kwanza kabla ya hujaanza kuwasema wenzi vibaya... utakuta hapo nungayembe,kinuka mdomo.. shenzi sana,mother-shut-your-mouth! f*&^*

Wewe ni yupi kwenye hiyo picture, maana naona Binti umekasirika ile mbaya...
 
Yo Yo kama vipi beba camera yako yakhe na ikiwezekana tuweekee yatakayojili....najua kwa time za EA lazima saa hizi unapiga bafu tayari kwa shughuri...somebody Yassin anaweza kuwepo vilevile chukua hela ya kutosha huwezi jua, zali linaweza anguka pande zako ukizingatia ma frahiday..
 
Haya mashindano yameahirishwa? Yo Yo vipi kamanda?..Muda wa dawa sasahivi,kazi zimeshaisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom