Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #21
Dogo kumbe baada ya kula pilau la sikukuu unakuwa na akili sana
Tangu umiss chit chat uanze final hakuna anaye zidisha kura 50 iweje leo. itabidi tupige kura za wazi kama mwanzo. ili waungwana wa kuhack waumbuke. kuna member wapya zaidi ya 100 wamepiga kura. hao nina mashaka nao. hakuna member mpya aliye mpigia Arabela. mia
ni kweli hata mda wa kupigiana kampeni uwe na kikomo, baada ya kampeni kuwe na siku moja tu ya kupiga hizo kulami nashaur baad ya mashindano kumalizika kuna haja ya kuweka mikakati mipya ili haki zitendeke.
ni kweli hata mda wa kupigiana kampeni uwe na kikomo, baada ya kampeni kuwe na siku moja tu ya kupiga hizo kula
Nafikiri ikiwa hivyo hata wa dhamini tutajitokeza wengi, maana yatakua mashindano yenye radha flani ivi tofauti na sasa ivi.good...hii ni point nyingine
Ili radha ya mashindano haya yaongezeka, itabidi kuwe na Kundi maalumu la watu 40 ambao watapiga kura zitakazo amua nani awe miss chit - chat, hizi general wachuje washiriki wawili wabaki watatu then hiyo tume ya watu 40 itaamua. Hii ni kutokana na ID fake kuwa nyingi na inasababisha asipatikane mshindi halari wa shindano hiri.
nawasilisha hoja.
ni kweli hata mda wa kupigiana kampeni uwe na kikomo, baada ya kampeni kuwe na siku moja tu ya kupiga hizo kula
Hoja zako ni za msingi sana mkuu....
Ninauomba uongozi ulifanyie kazi kwa mashindano yanayofuatia. .
Hahahaha! Bibie usinisahau katika ufalme wako. Kumbuka tumetoka mbali bana.
Mkuu hoja yako ni ya msingi sana.....
Naomba unijibu maswali yafuatayo:-
1. Alipoongoza Madame B na Arabela mbona hukuja na hii hoja... Na ni kwanini upinge mashindano katikati ya shindano?? Ungetoa hii hoja mara tu walipotangaza na si wakati shindano likiendelea..... Huoni kama hii inaweza kuwa ni chuki binafsi???
2. Unapozungumzia KUNDI LA WATU 40 ndilo lichague mshindi wa mwaka huoni kwamba utatunyima haki sisi member wengine? Sote tuna haki ya kupiga kura kumchagua mshiriki tumpendaye as long as wote ni member wa JF.
3. Unapozungumzia ID fake unamaanisha nini??? Kama issue ni multiple IDS Invisible alilishughulikia na nina tumai lilikwisha.. Kuhusu ID mpya, hakukuwa na sharti la new member kuto-vote. Pia nakumbuka kuna mtu aliuliza kuwa kama yeye si member wa CHITCHAT je anaruhusiwa kuvote? Alijibiwa anarusiwa, na pia hakukuwa na mipaka ya kufanya Kampeni. Hivyo mimi, kampeni manager na familia yangu kwa ujumla tulikuwa tunafanya kampeni hata nje ya CHIT CHAT ndio sababu ya ushindi huu.
Karibu...
id fake hazijashughulikiwa kama invisible alivyo sema. invisible anaweza kuona multiple ids kwa wasio fahamu I.T. lakini mtaalam wa i.t anaweza akatumia ids 80 kwenye pc moja na mtu using'amue labda kwa kutumia location. bora tukae kimya ili tusiumbuane na mwaka ukaisha vibaya bure. tukisema hili shindino lirudiwe kama tulivyo kua tunafanya mwanzo, nakuhakikishia hakuna wa kuzidisha kura 30. kwa uzoefu wangu wa haya mashindano. kama unabisha shindano lifutwe. mia

Lifutwe tu kwani shida iko wapi?????? Naona hii issue imekuja baada ya mie kuonekana kuongoza lakini alipokuwa akiongoza mshiriki unayemtaka haya yote hayakusikika...
Isiwe shida sana mpaka tukashindwa kupishana humu JF kisa shindano..........
Hapo kwenye red.. Je Member wa JF wapo wangapi??? Kumbuka kuwa tunafanya Kampeni mpaka nje ya ChitChat kura 100 ni ndogo sana ukilinganisha na member wa JF....
Liwalo na liwe!!!!!!!!!!!!

Jamani mmesaha kama tupo ki-chitchat zaidi mahala pa kuondole stress?....msifanye hivyo jamani naomba mshiriki wangu urudi jumbani usitoke nje umesikia lakini mwisho watakutolosha bure,,ha,ha,ha,....rudi ndani charminglady utatoka nje mashindano yakiisha sawa?
Namshangaa mtoa mada anavyotoka povu.... Anataka kuyafanya mashindano haya kama YA USA while tupo kichitchat....???????
Hebu mwambie apunguze povu... Chitchat haiwezi kufanana na jukwaa la siasa.... Watu hawapo serious km anavyofikiria!!!!