Miss Chit - Chat

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Ili radha ya mashindano haya yaongezeka, itabidi kuwe na Kundi maalumu la watu 40 ambao watapiga kura zitakazo amua nani awe miss chit - chat, hizi general wachuje washiriki wawili wabaki watatu then hiyo tume ya watu 40 itaamua. Hii ni kutokana na ID fake kuwa nyingi na inasababisha asipatikane mshindi halari wa shindano hiri.
nawasilisha hoja.
 
Miongonj mwa hao watu 40 wanapasa kuwa waadilifu na member wenye zaidi ya mwaka humu JF nafikiri ndio watafaa zaidi. Mfano Nyani ngabu, Bishanga na wengineo
 
Nyani ngabu na Bishanga hawawezi kaa pahala pamoja wakafanya jambo halafu wazo lako zuri
 
Naunga mkono hoja. Hii itasaidia kiondoa ulalamishi wa kila siku maana member mmoja anaweza kuvote kwa kutumia multiple IDs
 
kumbe nina sifa za kuwa judge
 
mkuu ismail n. juma hoja yako ni nzuri mno.pia zoez la miss wa kila mwezi liendelee halafu mwisho wa mwaka ma-miss 12 wachujwe kwa namna itakavyo ona inafaa had wataikane 3 bora
 
Last edited by a moderator:
Hii ni hoja ya msingi. Kuna ID mpya zimezaliwa kipindi kifupi hiki zinaweza kuwa kampeni ya baadhi ya wagombea kujipigia kura.
 
Marekebisho yafanyike baada ya shndano hli. Litakalofuata ndo itabd hayo mambo yafanyike
 
Hata kama hao hawa wezi fanya kazi pamoja, Kuna member wengi tu wenye zaidi ya mwaka humu ndani, wataifanya iyo kazi
Nyani ngabu na Bishanga hawawezi kaa pahala pamoja wakafanya jambo halafu wazo lako zuri
 
Ni kweli mkuu, maana hata shindano kwa mfumo huu wa wizi wizi wa kua na ID nyingi linakua sio zuri sana.
Naunga mkono hoja. Hii itasaidia kiondoa ulalamishi wa kila siku maana member mmoja anaweza kuvote kwa kutumia multiple IDs
 
Nafikiri hapo ndipo shindano litakua zuri zaidi na lenye mvuto na hata mshindi atakae patikana atakua ni wa haki, tofauti na sasa ivi naona kama kuna udanganyifu katika izi ID mpya.
mkuu ismail n. juma hoja yako ni nzuri mno.pia zoez la miss wa kila mwezi liendelee halafu mwisho wa mwaka ma-miss 12 wachujwe kwa namna itakavyo ona inafaa had wataikane 3 bora
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu, maana kuna vi account vimejitokeza alafu zimepotea.
Hii ni hoja ya msingi. Kuna ID mpya zimezaliwa kipindi kifupi hiki zinaweza kuwa kampeni ya baadhi ya wagombea kujipigia kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…