Kwani nimemtongoza mkeo?Hivi wewe kazi yako kutongoza wake za watu?
asante kwa vocha. nimeutambua ushindi wako. hongera sana. bado mwana mpotevu Remmy na charminglady. Madame B alishaninunulia bia so hatudaiani. Nakusihi uwe mwana mtulivu hivyo hivyo. usiwe kama wema sepetu kila siku magazeti. mia
Hahahahaaaa.....naona mnaendelea na mipango yenu ya ndoa kimya kimya mkimaliza mtaniambia....nianze na mmoja mmoja
Heheheheee nawewe kumbe huyu mumeo ni mzigo kama alivyo Bishanga kwa The secretarymh mbona kila unapokalishwa hukai. Lawama tu wanikondesha jaman
K i z u n g u z u n g ualikwambia ni mipango ya ndoa nani?
mshindi wetu namba moko hujambo??????? chit chat woyeeeeeeeeeee!!!!!!!!Hoyeeeeeeeeeeee!!"!!
mzee wa mia hiyo sio takrima kweli???asante kwa vocha. nimeutambua ushindi wako. hongera sana. bado mwana mpotevu Remmy na charminglady. Madame B alishaninunulia bia so hatudaiani. Nakusihi uwe mwana mtulivu hivyo hivyo. usiwe kama wema sepetu kila siku magazeti. mia
Maskini nani kati yangu na wewe?Ndo hapo sasa Erickb52 umaskini utamponza
Heheheheee nawewe kumbe huyu mumeo ni mzigo kama alivyo Bishanga kwa The secretary
Hahahahaaa
Kuja pande hii mumy upate raha ya kupendwa....binti mdogo hupaswi kuwa na stress kila siku!
mshindi wetu namba moko hujambo??????? chit chat woyeeeeeeeeeee!!!!!!!!
hiyo inaitwa #athante kaka. miamzee wa mia hiyo sio takrima kweli???