Miss chit chat oyeee

Arabela

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
3,127
Reaction score
2,227
Jaman wapendwa napenda kuchukua fursa hii kuwashkuru wote walionipigia kura na wasionipigia na my campaign managers Slave, zubedayo_mchuzi, Baba V, @st.paka mweusi, Kipipi na figganigga kufanikisha kuwa mshindi no.2. Pia nimshukuru Ruhazwe JR kwa kuratibu zoezi zima pamoja na kuwasilisha zawadi kwa uongozi wa jf. Pia salam zangu za dhati ziende kwa uongozi wa jf kwa kuongeza kiasi cha pesa kwenye zawadi zetu na kuziwasilisha kwetu. Pia pongezi kwa washiriki wenzangu. Nawapenda wote and may Jf live long
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhahaha
huna lolote naona umechoka kuishi kabisa!

Heheheeee niguse uone km sijajudunga kitu WOWOWO kilo ishirini uone km hujakaa ndani mwaka mzima.
Babu yangu ni mzee wa Kigoma meeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…