Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,101
- 127,847
Umesema....?? Mbona kama sielewi
Last edited by a moderator:
nadanganyaga tu mume wangu kafiwahivi wifi ndo wewe kweli au mizunguano tu tehe tehe tehe the
Namshangaa huyo ladyfurahia
Sasa hivi fanya kazi ila baadae hom nataka maelezo aisee
Good swty!
Niandae Na Doti ya kitenge? Maana kesi ikiwa ngumu zawadi ya kitenge itamaliza shida!
Miss u swty
Namshangaa huyo ladyfurahia
Hahaha leo sihongeki aisee
nadanganyaga tu mume wangu kafiwa
Mmmh! Ngoja nkufanyie booking ya hotel Ktk mbuga ZA wanyama swty! Unataka twende wapi tukapumzike?
unachonishangaa ni nini bestito kuna la ajabu nililofanya
au nimejipaka :hungry: kwani hujui :hail: wengine :moony: mwisho wa siku kukawa 😛eep:
Ki ukweli wifi ni huzuni sanani kweli wifi tumefiwa wenzio yaani alhamisi ndo maziko
na leo imenibidi nitoe stress za msiba hapa ili baadaye
ningiie tena kilioni si unajua tumeondokewa na
kipenzi chetu yaani wewe acha tu wifi , binamu yangu
yu hoi yaani aamini macho yake, ninafanya kazi ya kufariji hapa
Umesema....?? Mbona kama sielewi
Ki ukweli wifi ni huzuni sana
unachonishangaa ni nini bestito kuna la ajabu nililofanya
au nimejipaka :hungry: kwani hujui :hail: wengine :moony: mwisho wa siku kukawa 😛eep:
yaani wewe acha tu ni umbali unatatiza besti ila inaumiza sana na simanzi tele
hivi wewe :A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:
itabidi utoe maelezo umeshindwa kuja msibani kisa KAKANTWE
wakati unajua umekula hela za tshirt za kuvaa msibani
UTANIELEZA!!!! labda kama mm ni binamu yake na Mr Rocky
UTARUDISHA HELA ZOTE NILIZOKUPA kwani mm naonekana
vibaya hapa msibani