Miss Chagga Umependeza Sana

Miss Chagga Umependeza Sana

Huyu miss chagga kama picha ya 2 anaoneshwa hivi ila zimetofautiana au huwa anabadilika kama kinyonga?
 
binamu yangu Bulldog nakupenda sana sasa naomba leo jioni nipitie maenao ya mwenge tuende kawe tukale samaki
 
jamni shosti si unaona nimeapolojaizi kiana hapo? si unajua nataka nilete mahari pale jirani? angalia usinipige faini ya mbuzi maana hamkawii kunoa mapanga na visu.

nimekusamehe kidogo ila ukitaka nikusamehe kabisa nipe milioni 6
 
Back
Top Bottom