Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,073
- 6,909
Mbutana!!!!! Naomba unitumie receipt mama nitatuma.we lipa kwanza ndiyo utajua
Mbutana!!!!! Naomba unitumie receipt mama nitatuma.we lipa kwanza ndiyo utajua
haya kweli binadamu wanakuwa......huyu binadamu tunakuwa
Mbutana!!!!! Naomba unitumie receipt mama nitatuma.
Best ulivyo noma mpaka unatembea na calculator ili usisahau. Kula big likeunataka receipt ya 6,000,000+VAT 18% itakuwa 7,080,000 tuma hiyo amount nakupa na receipt
Best ulivyo noma mpaka unatembea na calculator ili usisahau. Kula big like
Ila shosti naona umekomaa mpaka naogopa kupitia pale mtoni. Itabidi nizungukie mwika chini maana hali mbaya. Nipe namba basi nitume kwa M-pesa ili uwekeze upate M-pawa miss chaggaha a ha ha ha jamani hata saa za mikononi zina calculator
Ila shosti naona umekomaa mpaka naogopa kupitia pale mtoni. Itabidi nizungukie mwika chini maana hali mbaya. Nipe namba basi nitume kwa M-pesa ili uwekeze upate M-pawa miss chagga
Bulldog binamu yangu nipo mbona nimekumiss sanamiss chagga upo wapi?
Shosti hii namba kama ya magari ya zamani yale ya TZ 333300320202. Si unakumbuka lile la yule mzee wa pale Ashira?sawa mkuu namba yangu ni 07533417743
Shosti hii namba kama ya magari ya zamani yale ya TZ 333300320202. Si unakumbuka lile la yule mzee wa pale Ashira?
Nimekumiss sana
miss u too