Akili zako sawa tu na Shyma, wauza ndizi hawakumfundisha jinsi ya kula, na hakuuliza inaliwaje.Akili zao zinafanana na serikali ya Tanzania. Basi wawakamate na wauza ndizi wote, maana wao ndio waliomuuzia.
.....wa ngono zembe !Wamemkamata kwa kosa la uchochezi
...mwanamke ana thamani huko, vitu hivyo vya ndizi ni vya kumfanyia mumewe tu, si kama wenu wa kariakoo shanga nje nje.Ovyo tu tatizo uarabuni haki ya mwanamke imebanwa sana yaani
Mimi huwa nakata na mkono na kutupia kama matonge ya ugali !
Kwa nini ale 'ndizi' fake wakati ndizi original zipo? Je, alitaka kuonesha hiyo fake ni mbomba kuliko halisi, je?sasa kula ndizi ni shida?
Mi huwa naangalia chini au nageukia ukutaniMimi huwa nakata na mkono na kutupia kama matonge ya ugali !
Tatizo nae alikuwa anakula kiutamu kama vile naniliu, watu akawatia mshawasha!sasa kula ndizi ni shida?
...au akigaia watu 'papa' hamna wa kumuuliza !Aje bongo, hata ukicheza na chupi hakuna wa kuhoji.
Hhahahaaa, kuamsha amsha madude au siyo!, waarabu wana genye sana....atiwe tu adabu utamaduni wa kuamsha amsha madude bila sababu haupo nchi za kiislam..hiyo ndizi akainyonye tu chumbani kwake
....ikawapelekea wakawashwa washwa !Tatizo nae alikuwa anakula kiutamu kama vile naniliu, watu akawatia mshawasha!
Mtoto Sheimaa alikuwa ananyonya udizi kwa mautundu ya aina yake, akawa amsha amsha yaliyomo!....ikawapelekea wakawashwa washwa !
Ndizi yenyewe umeiona..??? Ndiz ina kichwa!!!Kula ndizi nako ni dhambi?wanaume wanajishtukiaga tu
Ndizi imeshikwa kwa unyenyekevu unaostahili watu wameionea wivu ndizi na kuifananisha na mambo mengine, akili za binadamu wanazijua wenyeweWamisri nao! Mtu asile ndizi au ndizi ina maana nyingine huko Misri!
Swadakta...au akigaia watu 'papa' hamna wa kumuuliza !
Ha ha hahAnakula ndizi ila perception zao ndo zinataka kumponza...